Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Neno Laonekana katika Mwili

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Sura ya 27

Mungu mmoja wa kweli anayetawala juu ya ulimwengu na vitu vyote—Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho! Huu ndio ushuhuda wa Roho Mtakatifu, ni ushahidi dhahiri! Roho Mtakatifu anafanya kazi kuwa na ushuhuda kila mahali, ili kusiwe na mtu yeyote mwenye shaka yoyote. Mfalme wa ushindi, Mwenyezi Mungu! Yeye ameushinda ulimwengu, Ameishinda dhambi na kufanikisha ukombozi! Anatuokoa, kundi hili la watu ambao wamepotoshwa na Shetani, na Anatukamilisha kufanya mapenzi Yake. Anatawala dunia nzima, Anaichukua tena na kumfukuza Shetani hadi ndani ya shimo lisilo na mwisho. Anauhukumu ulimwengu, na hakuna mtu anayeweza kukwepa kutoka mikononi Mwake. Anatawala kama Mfalme.

Dunia nzima inafurahia! Inamtukuza Mfalme mshindi—Mwenyezi Mungu! Milele na milele! Unastahili heshima na sifa. Mamlaka na utukufu viwe kwa Mfalme mkuu wa ulimwengu!

Muda ni mfupi, fuata nyayo za Mwenyezi Mungu na uendelee mbele. Kuwa mwangalifu kabisa, uwe mwenye kuufikiria mzigo Wake, uwe mwenye mawazo sawa na Yeye na ujitumie kwa ajili ya mpango Wake wa usimamizi. Lazima usihifadhi mali zako, na hakuna muda mwingi. Zitoe! Usiziweke! Zitoe! Usiziweke!

Iliyotangulia:Sura ya 26

Inayofuata:Sura ya 28

Maudhui Yanayohusiana

 • Mungu Ndiye Chanzo cha Uhai wa Mwanadamu

  Tangu unapoingia katika dunia hii ukilia, unaanza kutekeleza wajibu wako. Kwa kuchukua jukumu lako katika mpango wa Mungu na katika utaratibu Wake, u…

 • Kuhusu Biblia (1)

  Biblia inapaswa kuangaliwaje kuhusiana na imani kwa Mungu? Hili ni swali muhimu sana. Kwa nini tunawasiliana swali hili? Kwa sababu wakati ujao utae…

 • Kuuweka tu Ukweli Katika Matendo Ndiko Kuwa na Uhalisi

  Kuwa na uwezo wa kuyaeleza maneno ya Mungu kwa uwazi haimaanishi kwamba wewe unaumiliki uhalisi—mambo si rahisi kama ulivyoweza kufikiria. Ikiwa unau…

 • Kazi na Kuingia (3)

  Mungu amewaaminia wanadamu vitu vingi sana na Amezungumza bila kikomo juu ya kuingia kwao. Lakini kwa sababu ubora wa tabia ya watu ni duni mno, manen…