67 Imba na Kucheza katika Sifa kwa Mungu

1

Kristo wa siku za mwisho Ameonekana kufanya kazi na kumwokoa mwanadamu.

Anafichua upendo wa Mungu kwa kunyunyizia, kumlisha na kumwongoza mwanadamu.

Maneno ya Mungu yana joto na nguvu, huishinda mioyo yetu.

Tunakula, kunywa na kufurahia maneno ya Mungu, tunahudhuria karamu.

Kwa kula na kunywa maneno ya Mungu, kutafakari na kushirikiana kuyahusu,

Roho Mtakatifu hutupa nuru, na tunaelewa ukweli.

Tunatupa uhusiano wa kidunia na kutekeleza wajibu wetu.

Ni baraka iliyoje kuingia katika ufalme wa Mungu!

2

Maneno ya Mungu ni kama upanga mkali unaofunua asili yetu.

Kiburi, kujidai na udanganyifu wetu vinafunuliwa katika nuru.

Kwa kupitia hukumu na kuadibu, tunakuja kujijua wenyewe.

Tabia yetu potovu inasafishwa, na tunakuwa watu wapya.

Tukifanya kazi kwa mapatano na wengine, tunatekeleza wajibu wetu.

Tunashindwa na kuanguka na kutafuta ukweli.

Neno la Mungu na ukweli ni vya thamani sana, vinatuosha.

Tuwekwapo huru kutokana na ushawishi wa Shetani, tunapata sifa ya Mungu.

3

Hakika kwamba Kristo ndiye ukweli, twaamfuata kwa azimio lisiloweza kuvunjika.

Tunafanya misheni yetu kumshuhudia Mungu na tumejitolea Kwake kabisa.

Hakuna kejeli, kashfa au shutuma inayoweza kutufanya turudi nyuma.

Tunafanya wajibu wetu kumridhisha Mungu, utukufu wa Mungu unakuja mbele.

Hatutaogopa tunapokamatwa na Shetani.

Ingawa tunateswa sana, tutakuwa waaminifu daima.

Kupitia majaribu na dhiki, upendo wetu kwa Mungu huimarishwa.

Tunanalitelekeza kabisa joka kubwa jekundu na kuwa na ushuhuda wa kishindo.

Kiitikio

Imba na kucheza katika sifa kwa Mungu, katika sifa kwa Mungu.

Mshukuru Mungu kwa kutuongoza katika njia ya uzima.

Tunafurahia maneno ya Mungu kila siku na tunaishi katika uwepo Wake.

Hatutaacha kuisifu na kushuhudia haki ya Mungu!

Iliyotangulia: 66 Sifa kwa Maisha Mapya katika Ufalme

Inayofuata: 68 Furaha Katika Nchi ya Kanaani

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp