Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Kutanafusi kwa Mwenye Uweza

Aa … aa …

Mwenyezi anatazama pande zote binadamu  walioumia sana.

Anasikia kilio cha wale wanaoteseka,

Anaona kutokuwa na aibu kwa wale walioumia,

na Anahisi hofu na kutokuwa na matumaini kwa binadamu waliopoteza wokovu.

Wanakataa ulinzi Wake, wanaitembea njia yao wenyewe,

na kuepuka kutafuta kwa macho Yake.

Wanaona afadhali waonje uchungu wote wa bahari yenye kina, wakiwa pamoja na adui.

Wanaona afadhali waonje uchungu wote wa bahari yenye kina, wakiwa pamoja na adui.

Kutanafusi kwa Mwenyezi hakuwezi kusikika na yeyote.

Mikono ya Mwenyezi haitaki tena kugusa,

Mikono Yake haitaki tena kumgusa binadumu huyu duni.

Aa … aa …

Mara tena na tena, kupata tena na kupoteza.

Anaendelea kurudia kazi Yake kwa njia hii.

Mara tena na tena, kupata tena na kupoteza.

Anaendelea kurudia kazi Yake kwa njia hii.

Kutoka wakati huo, Anachoka na kuchoshwa na hii,

hivyo, Anasimamisha kazi iliyo mikononi Mwake,

Hatembei tena kati ya mwanadamu….

Hakuna yeyote ambaye ameona haya yote,

hakuna yeyote ambaye ameona haya mabadiliko yote.

Hakuna anayejua masikitiko na huzuni,

kuja na kwenda kwa Mwenyezi.

Yote yaliyomo duniani yanabadilika haraka

na fikira za Mwenyezi, machoni pake.

Mambo ambayo mwanadamu hajawahi kuyasikia kamwe yanafika ghafla.

Ilhali, kile alichokuwa nacho kinapotea bila kujua.

Hakuna anayeweza kuelewa mahali ambapo Mwenyezi yupo,

na hakuna anayeweza kuhisi uvukaji mipaka na ukuu

wa nguvy ya maisha ya Mwenyezi.

Uvukaji mipaka Wake upo katika  jinsi Anavyoweza kuona kile ambacho wanadamu hawaoni.

Ukuu Wake uko katika

jinsi Alivyo Yule anayekataliwa na binadamu ilhali Anamwokoa binadamu,

Anajua maana ya uhai na kifo,

na masharti ya maisha kwa binadamu aliyeumbwa.

Yeye ni msingi wa uwepo wao

na Mkombozi wao ili wafufuke tena.

Anafanya mioyo yenye furaha kusononeka na kujaza mioyo yenye huzuni kwa furaha.

Haya yote ni kwa ajili ya kazi Yake, na kwa mpango Wake.

Haya yote ni kwa ajili ya kazi Yake, na kwa mpango Wake.

Anafanya mioyo yenye furaha kusononeka na kujaza mioyo yenye huzuni kwa furaha.

Haya yote ni kwa ajili ya kazi Yake, na kwa mpango Wake.

Haya yote ni kwa ajili ya kazi Yake, na kwa mpango Wake.

kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Huzuni ya Binadamu Aliyepotoka

Inayofuata:Mungu Aomboleza Siku za Usoni za Binadamu

Maudhui Yanayohusiana

 • Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

  Ⅰ Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye. Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena, hawamwiti baba tena. Ⅱ…

 • Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

  I Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo …

 • Tilia Maanani Majaliwa ya Binadamu

  Ⅰ Mungu anawahimiza watu wa makabila yote, nchi zote na hata nyanja: Sikilizeni sauti ya Mungu na kuona kazi Yake; tilia maanani jaala ya binadamu; mf…

 • Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi

  Ⅰ Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000, uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi. Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema…