Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

1029 Ni Mungu tu Ampendaye Mwanadamu Zaidi

1

Mungu anakuwa mwili katika siku sa mwisho kumwokoa mwanadamu kwa kuwa Anampenda mwanadamu.

Akitiwa msukumo na upendo Wake, Anatekeleza kazi ya leo.

Iko chini ya msingi wa upendo.

Mungu alikuwa mwili na Aliteseka kwa mateso makubwa ili kuliokoa kundi hili la binadamu walioharibika.

Ni maumivu kiasi gani Aliyopitia!

Tena na tena, Anaonyesha upendo Wake usio na kipimo.

Hayupo radhi kutoa sadaka au kupoteza roho hata moja.

Watu hawajali kuhusu majaliwa yao wenyewe,

Hujipendi, hujui kutunza maisha yako mwenyewe,

Ni Mungu Ndiye Anayewapenda sana binadamu. Ni Mungu pekee ndiye Anayewapenda sana binadamu.

2

Kuna ushauri, faraja, tumaini, uvumilivu,

na ustahimilivu katika maneno ambayo Mungu huzungumza, hata zaidi, kuna hukumu, adibu, laana, kufichuliwa hadharani, ahadi za kuvutia, n.k. katika maneno Yake.

Bila kujali mbinu, yote hii imetawaliwa na upendo.

Hii ni dutu ya kazi Yake.

Kwa nini watu wengi wanafuatilia kwa karibu? Kwa nini watu wengi wamekuwa na shauku kubwa hivi?

Wana uelewa wa upendo wa Mungu, na wanaona kwamba kazi ya Mungu ni kuwaokoa watu.

Wakati wa Mungu ndio kamili. Hachelewi kamwe.

Hayupo radhi kutoa sadaka au kupoteza roho hata moja.

Watu hawajali kuhusu majaliwa yao wenyewe.

Hujipendi, hujui kutunza maisha yako mwenyewe,

Ni Mungu Ndiye Anayewapenda sana binadamu. Ni Mungu pekee ndiye Anayewapenda sana binadamu.

Wakidhani kwamba wanajipenda. Kwa kweli, ni upendo gani ambao watu wanao wao kwa wao?

Ni upendo wa Mungu tu ndio upendo wa kweli; taratibu utaelewa upendo wa kweli ukoje.

Ikiwa Mungu hangekuwa mwili ili kufanya kazi na kumwongoza mwanadamu uso kwa uso,

basi kuuelewa upendo wa Mungu kwa kweli kisingekuwa kitu rahisi kufanya.

Hayupo radhi kutoa sadaka au kupoteza roho hata moja.

Watu hawajali kuhusu majaliwa yao wenyewe,

Hujipendi, hujui kutunza maisha yako mwenyewe.

Ni Mungu Ndiye Anayewapenda sana binadamu. Ni Mungu pekee ndiye Anayewapenda sana binadamu.

Ni Mungu pekee ndiye Anayewapenda sana binadamu.

Ni Mungu pekee ndiye Anayewapenda sana binadamu.

Umetoholewa kutoka katika “Je, Unauelewa Upendo wa Mungu kwa Binadamu?” katika Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo

Iliyotangulia:Jinsi ya Kufahamu Uenyezi na Utendaji wa Mungu

Inayofuata:Upendo wa Mungu kwa Binadamu ni wa Kweli na Halisi

Maudhui Yanayohusiana

 • Furaha Katika Nchi ya Kanaani

  1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu kuingia kati…

 • Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu

  Mandhari iliyochorwa katika Biblia "Amri ya Mungu kwa Adamu" ni ya kugusa na yenye kutia moyo. Ingawa hiyo picha ina Mungu na mtu tu, uhusiano kati ya…

 • Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote

  1 Kutoka unapoingia katika dunia hii ukilia, unaanza kutenda wajibu wako. Katika mpango na utaratibu wa Mungu, unachukua nafasi yako, na unaanza safar…

 • Upendo Safi Bila Dosari

  1 Upendo ni hisia safi sana, safi bila dosari. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Upendo hauweki masharti au vizuizi au ba…