135 Kumtamani Mungu

1

Kumwona Mungu akiondoka, moyo wangu unavunjika.

Nyakati za nyuma zinajirudia akilini mwangu, mafundisho ya Mungu yanasikika masikioni mwangu.

Usihuzunike, usisikitike.

Wakati wa kuagana kwetu, maneno ya moyoni mwangu ni mengi nitamaniyo kukwambia.

Ee Mungu, Ee Mungu, Mungu mpendwa!

Tutakutana tena lini, ni lini tutasikia tena mafundisho Yako?

2

Namtamani sana Mungu, moyo wangu unajuta.

Dhambi nyingi ni ngumu kufidia, deni limeachwa moyoni mwangu.

Maneno ya Mungu yanihukumu, na yanifariji.

Ananisihi, tena na tena, na kunifundisha kwa uvumilivu; maneno Yake yananielekeza mbele kwa kila hatua.

Ee Mungu, Ee Mungu, Mungu mpendwa!

Mioyo yetu inakutamani Wewe, tunakaribisha kuonekana Kwako hadharani.

3

Naitamani neema ya Mungu, namtamani Mungu.

Natembea na Mungu kupitia shida na maangamizo; katika shida, nahisi upendo Wake kwa undani zaidi.

Aibu na machozi, uchungu na maumivu.

Kati ya ugumu na usafishaji, maneno ya Mungu yako na mimi; Nasimama kidete katika ushuhuda wangu, na namshinda Shetani.

Ee Mungu, Ee Mungu, Mungu mpendwa!

Naomba Utulinde daima, ili tuishi katika kumbatio la upendo Wako.

4

Naweza kusema kuhusu nyakati za nyuma tulizoshiriki bila mwisho.

Lakini machozi yanajaza macho yangu na sina la kusema, kusihi kwa Mungu kunakumbukwa moyoni mwangu.

Naenda kwa miisho ya dunia, kwa vilindi vya bahari.

Haijalishi safari ilivyo ngumu sana, sitakengeuka katika kukamilisha misheni yangu.

Ee Mungu, Ee Mungu, Mungu mpendwa!

Wewe ni Mungu wetu daima, tutakupenda na kuwa Wako milele.

Iliyotangulia: 134 Naomba Niwe na Mungu Milele

Inayofuata: 136 Natamani Ningekuwa na Mungu Kila Siku

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp