132 Tuweze Kujua Uzuri wa Mungu

I

Tukiishi katika nchi hii ya uchafu

tunateswa sana na joka kubwa jekundu.

Na tumekuza chuki kwake.

Linazuia upendo wetu kwa Mungu

na linashawishi ulafi wetu kwa matarajio ya usoni.

Linatutamanisha kuwa hasi, kumpinga Mungu.

Limetudanganya, kutupotosha na kutuvuruga sisi hadi sasa,

mpaka kiwango ambapo hatuwezi

kulipa upendo wa Mungu na mioyo yetu.

Mungu atupee nuru, ili tuweze kujua uzuri Wake,

tumpende Mungu wetu katika vina vya mioyo yetu,

na kuonyesha upendo wetu Kwake katika majukumu mbalimbali.

Mungu atupe mioyo ya upendo usioyumba Kwake.

Hili ndilo Mungu analotarajia.

Hili ndilo Mungu analotarajia.

Hili ndilo Mungu analotarajia.

II

Tunataka kumpenda Mungu,

lakini bila sisi kutaka, hatuna nguvu.

Sote ni waathiriwa wake.

Kwa sababu hii,

tunalichukia joka jekundu na mioyo yetu yote,

na tunaweza tu kusubiri Mungu aliangamize.

Tunapaswa kuweka mioyo yetu katika

kutekeleza mapenzi ya Mungu ambayo ni kumpenda Mungu.

Hii ndiyo njia ambayo tunapaswa kutembea.

Ni jinsi tunavyopaswa kuishi maisha yetu.

Tunapaswa kuchukua mapenzi ya Mungu kama lengo letu

na kuishi kwa kudhihirisha maisha yaliyojawa na maana na uzuri.

Mungu atupee nuru, ili tuweze kujua uzuri Wake,

tumpende Mungu wetu katika vina vya mioyo yetu,

na kuonyesha upendo wetu Kwake katika majukumu mbalimbali.

Mungu atupe mioyo ya upendo usioyumba Kwake.

Hili ndilo Mungu analotarajia.

Hili ndilo Mungu analotarajia.

Hili ndilo Mungu analotarajia.

III

Hivi, tutaweza kufa bila majuto,

na moyo uliyojawa na furaha na faraja.

Je wewe ni mtu mwenye azimio kama hilo?

Mungu atupee nuru, ili tuweze kujua uzuri Wake,

tumpende Mungu wetu katika vina vya mioyo yetu,

na kuonyesha upendo wetu Kwake katika majukumu mbalimbali.

Mungu atupe mioyo ya upendo usioyumba Kwake.

Hili ndilo Mungu analotarajia.

Mungu atupee nuru, ili tuweze kujua uzuri Wake,

tumpende Mungu wetu katika vina vya mioyo yetu,

na kuonyesha upendo wetu Kwake katika majukumu mbalimbali.

Mungu atupe mioyo ya upendo usioyumba Kwake.

Hili ndilo Mungu analotarajia.

Hili ndilo Mungu analotarajia.

Hili ndilo Mungu analotarajia.

Iliyotangulia: 131 Nampa Mungu Upendo Wangu

Inayofuata: 133 Mungu na Aguse Roho Zetu Mara Nyingine Tena

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

269 Nitampenda Mungu Milele

1 Ee Mungu! Maneno Yako yananiita nirudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Mara nyingi sana nilikuwa dhaifu...

132 Mradi tu Usimwache Mungu

Upendo na huruma za Mungu hupenyeza katika kila sehemu ya kazi ya usimamizi Wake, na bila kujali kama watu wanaweza kuelewa nia njema za...

273 Upendo Safi Bila Dosari

1 Upendo ni hisia safi sana, safi bila dosari. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Upendo hauweki masharti au...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki