142 Nitauweka Upendo wa Mungu Mawazoni Mwangu Siku Zote

1

Ukifanya kazi katika mwili, Umepitia maumivu na aibu.

Watu wa ulimwengu wanazikashifu na kuzikejeli njia Zako.

Jamii za kidini zinakuhukumu na kukusingizia.

Umefukuzwa na joka kuu jekundu, kudharauliwa na enzi hii.

Unavumilia kwa utulivu huku ukionyesha ukweli,

Ukiyafanya yote kwa sababu Unataka kumwokoa mwanadamu.

Ingawa huna hatia, Unachukua lawama, kukataliwa.

U mtakatifu lakini kati ya wenye dhambi kumwokoa mwanadamu.

Unamtolea mwanadamu ukweli, uzima bila majuto.

Ee Mungu, Wewe wapendeza sana.

Maneno Yako ya uzima, milele mioyoni mwetu.

Tukikumbuka ombi Lako,

tunashuhudia injili ya ufalme Wako.

Tutatimiza wajibu wetu,

tutakutolea ushuhuda mzuri na mkuu.

Nakupenda moyoni mwangu, Mungu,

kuweka mapenzi Yako akilini mwangu pia.

2

Tukila, kunywa maneno Yako, tunajifunza ukweli,

twaona chanzo cha uovu na ubaya wa ulimwengu,

twajua ukweli ni wa thamani, tunateseka kuupata,

kuwa na wokovu wa siku za mwisho ni neema Yako.

Unamtolea mwanadamu ukweli, uzima bila majuto.

Ee Mungu, Wewe wapendeza sana.

Maneno Yako ya uzima, milele mioyoni mwetu.

Tukikumbuka ombi Lako,

tunashuhudia injili ya ufalme Wako.

Tutatimiza wajibu wetu,

tutakutolea ushuhuda mzuri na mkuu.

Nakupenda moyoni mwangu, Mungu,

kuweka mapenzi Yako akilini mwangu pia.

3

Unatembea kati ya makanisa na kuishi na mwanadamu.

Uonapo uasi wetu, Unaumia na una huzuni pia.

Kimo chetu cha kitoto hukukosesha usingizi.

Umesema yote na kujitahidi kumwokoa mwanadamu hivi karibuni.

Maneno Unayonena yanaweza kusikika kuwa makali kwa masikio yetu,

lakini hutusaidia kujua sisi tumekuwa nani.

Hukumu, majaribio Yako hutakasa upotovu wa mwanadamu.

Hukumu Yako ni baraka na ni upendo.

Kwa kupitia hukumu ya maneno Yako

na kupitia kuadibu kwa maneno Yako,

tunajifunza ukweli, tunajua kuwa wewe ni mwenye haki, mtakatifu.

Tabia ya zamani imebadilika, tunahisi upendo Wako pia.

Ee Mungu, Wewe wapendeza sana.

Maneno Yako ya uzima, milele mioyoni mwetu.

Tukikumbuka ombi Lako,

tunashuhudia injili ya ufalme Wako.

Tutatimiza wajibu wetu,

tutakutolea ushuhuda mzuri na mkuu.

Nakupenda moyoni mwangu, Mungu,

kuweka mapenzi Yako akilini mwangu pia.

Iliyotangulia: 141 Kumtamani Sana Mwenyezi Mungu

Inayofuata: 143 Ee Mungu, Moyo Wangu Utakupenda Daima

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp