33 Tunamsifu na Kumwimbia Mungu

Tunasikia sauti ya Mungu na kumgeukia,

tukifuata nyayo za Mwanakondoo.

Tunahudhuria karamu ya Kristo, kula na kunywa

maneno ya Mungu siku nzima.

Tunafurahia unyunyizaji na riziki

ya maneno ya Mungu na roho zetu zinapata maisha mapya.

Roho Mtakatifu hutupa nuru kuelewa ukweli

na tunamjua Mungu wa vitendo.


Tunasifu na kumwimbia Mungu.

Tunasifu na kuimba.

Tunasifu na kumwimbia Mungu.

Tunasifu na kuimba.


Maisha ya ufalme ni yenye utajiri usio na kifani,

Mungu Mwenyewe hutuongoza na kutuchunga.

Tunatenda ukweli na kutimiza wajibu wetu,

mioyo yetu ina amani na utulivu.

Kumtupa Shetani kunaleta uhuru,

sasa tunaweza kuishi mbele za Mungu.

Haya yote ni ukuzaji na neema ya Mungu,

nani awezaye kuwa amebarikiwa zaidi yetu?


Tunasifu na kumwimbia Mungu.

Tunasifu na kuimba.

Tunasifu na kumwimbia Mungu.

Tunasifu na kuimba.


Kupitia hukumu, majaribio, na usafishaji,

tabia zetu za kishetani zinatakaswa.

Kuijua tabia ya Mungu yenye haki,

twamwogopa Mungu na kuepuka uovu mioyoni mwetu.

Kupitia mateso na ugumu,

Maneno ya Mungu daima huongoza njia.

Imani yetu imekamilika,

tunakuwa na ushuhuda na kuuona upendo wa Mungu.


Tumepokea wokovu mkubwa wa Mungu,

tunamwimbia Mungu nyimbo za sifa.

Sifa kwa tabia Yake takatifu, yenye haki,

inayostahili sana sifa ya mwanadamu.

Isifu hekima na uweza Wake katika kazi Yake,

Ameshinda na kulipata kundi la watu.

Wateule wa Mungu wanampenda na wanatii kwa dhati.

Tutamwabudu milele.


Tunasifu na kumwimbia Mungu.

Tunasifu na kuimba.

Tunasifu na kumwimbia Mungu.

Tunasifu na kuimba.

Iliyotangulia: 32 Sifu Ushindi wa Mwenyezi Mungu

Inayofuata: 34 Sifa kwa Mwenyezi Mungu Haitakoma Kamwe

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

273 Upendo Safi Bila Dosari

1 Upendo ni hisia safi sana, safi bila dosari. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Upendo hauweki masharti au...

263 Njia Yote Pamoja na Wewe

1 Naelea na kuzurura katika dunia, nikihisi kupotea na mnyonge ndani. Ninapoamshwa na maneno Yako ya upole, naona kuonekana kwa mwanga....

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki