40 Mwimbie Mungu Nyimbo za Sifa Milele

1 Mungu mwenye mwili alionekana Uchina, kuonyesha ukweli na kumhukumu mwanadamu. Tunasikia sauti Yake, na tunainuliwa mbele ya kiti Chake cha enzi. Hatakufikiri hata katika ndoto zetu kwamba tungekuja uso kwa uso na Mungu. Miaka ya kutamani imeonekana, na tunaona kuonekana kwa Mkombozi. Maneno ya Mwenyezi Mungu yanaonyesha uweza Wake, na yameishinda mioyo ya mamilioni. Watu wa Mungu hukusanyika mbele ya kiti Chake cha enzi, waongozwe na kunyunyiziwa na maneno Yake. Maneno yote ya Mungu ni ukweli, yanayotupa njia ya uzima wa milele. Tunapata utakaso na wokovu wa Mungu, na tunaimba nyimbo za sifa kwa Mungu milele.

2 Kila siku tunasoma maneno ya Mungu na kushiriki kuhusu ukweli, na kukubali hukumu yao na utakaso. Chini ya nuru ya Mungu na mwanga, tunakuja kujijua na kung’amua asili zetu za kishetani. Sisi ni wenye kiburi, wenye kujidai, wabinafsi na wenye kudharauliwa, na kwa kujidharau na majuto tunaanguka mbele ya Mungu. Kwa kunyima mwili na kutenda ukweli, tabia za maisha yetu hubadilika hatua kwa hatua. Kwa kupitia hukumu tunapata ukweli, na tunajua haki na utakatifu wa Mungu. Tunafurahia upendo wote wa Mungu, na tunamwimbia Mungu nyimbo za sifa milele. Kwa kupitia hukumu tunapata ukweli, na tunajua haki na utakatifu wa Mungu. Tunafurahia upendo wote wa Mungu, na tunamwimbia Mungu nyimbo za sifa milele.

3 Hukumu imeanza na familia ya Mungu, na kupitia katika hukumu watu wa Mungu wametakaswa. Mungu ameunda kikundi cha washindi, na Amemshinda Shetani na kupata utukufu. Uweza wa Mungu na hekima inafichuliwa kabisa, jina Lake takatifu linatangazwa duniani kote. Haki ya Mungu inastahili sifa, na jina Lake takatifu linastahili kusifiwa. Ufalme wa Mungu unaonekana duniani na watu Wake wanacheza na kuimba nyimbo mpya. Mataifa yote, watu wote wanamsifu Mungu, na wanamwimbia Mungu nyimbo za sifa milele. Ufalme wa Mungu unaonekana duniani na watu Wake wanacheza na kuimba nyimbo mpya. Mataifa yote, watu wote wanamsifu Mungu, na wanamwimbia Mungu nyimbo za sifa milele.

Iliyotangulia: 39 Ulimwengu Unatoa Sauti ya Sifa kwa Mungu

Inayofuata: 41 Sifa kwa Mwenyezi Mungu Haitakoma Kamwe

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp