987 Tafuta Kuwa Maonyesho ya Utukufu wa Mungu

1 Wote ambao ni wa mwili na damu wanaongozwa na Mungu, lakini pia wanaishia katika kifungo cha Shetani, na kwa hiyo watu hawajawahi kuwa na uhusiano wa kawaida kati yao, kama ni kwa sababu ya tamaa, au kuabudu, au utaratibu wa mazingira yao. Mahusiano yasiyo ya kawaida kama hayo ndiyo Mungu anayachukua zaidi ya yote, na hivyo ni kwa sababu ya mahusiano kama hayo ndiyo maneno kama “Kile Ninachotaka ni viumbe vilivyo hai ambao wamejawa na uzima, si maiti ambazo zimegubika katika kifo. Kwa kuwa Ninaketi mezani pa ufalme, Nitatoa amri kwa watu wote duniani ili wapate ukaguzi Wangu” yanatoka kinywani mwa Mungu.

2 Mungu anapokuwa juu ya ulimwengu mzima, kila siku Yeye huangalia kwa makini kila kitendo cha wale wa mwili na damu, na Hajawahi kumpuuza hata mmoja wao. Haya ni matendo ya Mungu. Na kwa hiyo, Nawasihi watu wote wachunguze fikira, mawazo, na matendo yao wenyewe. Siwataki muwe ishara ya aibu kwa Mungu, bali dhihirisho la utukufu wa Mungu, kwamba katika matendo, maneno, na maisha yenu yote, msiwe shabaha ya mizaha ya Shetani Haya ni matakwa ya Mungu kwa watu wote.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 20” ya Ufafanuzi wa Mafumbo ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 986 Mwili Unaweza Kuharibu Majaliwa Yako

Inayofuata: 988 Kumwamini Mungu Lakini Kutopata Uzima Kunaleta Adhabu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp