Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Mtazamo Ambao Wale Wanaoyatii Mamlaka ya Mungu Wanapaswa Kuumiliki

I

Ni jinsi gani wanadamu wanapaswa kuyajua na kuyastahi

mamlaka ya Mungu, ukuu Wake juu ya kudura ya mwanadamu?

Tatizo hili huwakabili wanadamu wote.

Unapokabiliwa na matatizo katika maisha yako,

utaelewaje na kuonja mamlaka na ukuu wa Mungu?

Wakati hujui jinsi ya kuyaelewa, kuyashughlikia, na kuyapitia matatizo haya,

ni msimamo gani unafaa kuuchukua ili kuthibitisha

mapenzi yako na hamu ya kuutii mpango wa ukuu wa Mungu?

II

Unapaswa kusubiri mpangilio wa Mungu,

kwa watu, matukio na mambo yaliyopangwa na Mungu,

ukisubiri mapenzi Yake yajidhihirishe yenyewe polepole.

Unapaswa kutafuta kupitia watu na vitu ili kuona jinsi makusudi ya Mungu ni mema,

kuuelewa ukweli Wake na njia ambazo unapaswa kuweka,

kuyaelewa matunda na mafanikio ambayo Anataka kufanikisha kwa wanadamu.

III

Utii na kuukubali ukuu wa Mungu na vitu vyote vilivyowekwa na Yeye,

uje kujua jinsi Muumba anavyoamuru kudura ya mwanadamu,

jinsi Yeye huwakimu wanadamu kwa maisha Yake na kupenyeza ukweli ndani ya mwanadamu.

Vitu vyote huzitii sheria za asili chini ya mpango na ukuu wa Mungu.

Ukiamua kumruhusu Mungu aongoze, kupanga na kuelekeza kila kitu kwa niaba yako,

lazima usubiri, utafute, na kutii.

Mtazamo huu unahitajika na wote wanaosujudu mbele ya Mungu.

Wale ambao hujitahidi kuwa na sifa hii watafikia uhalisi wa kweli.

kutoka kwa "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III" katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Kufanikiwa au Kushindwa Kunategemea na Ufuatiliaji wa Mwanadamu

Inayofuata:Wanadamu Wanaoishi Chini ya Mamlaka ya Mungu

Maudhui Yanayohusiana

 • Umuhumi wa Maombi

  I Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, ku…

 • Wewe Tu Unaweza Kuniokoa Mimi

  Ⅰ Mnyenyekevu na Uliyejificha, Wewe unaambatana na watu katika matatizo yao, Ukiwapa njia ya uzima wa milele. Unawapenda binadamu kama mwili Wako mwe…

 • Nitampenda Mungu Milele

  Ⅰ Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kurudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Majaribu mengi na uchungu, dhiki nyingi sa…

 • Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa

  Ⅰ Kwa kuwa Mungu alimwokoa mwanadamu, Atamwongoza; kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa; kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfiki…