90 Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ni Halisi Zaidi

1

Mpendwa wangu, wewe ni kipenzi changu.

Ni kwa ajili ya furaha yako, mamako anaishi.

Mara nyingi nakwambia usome vizuri,

ili upate kutambulika.

Najua kuwa unanipenda na kunithamini,

lakini mahitaji na mafadhaiko ni makubwa sana.

Moyo wangu unaumia, na siwezi kufanya kile uniulizacho.

Natazamia kifo ili niepuke.

Mama hakuelewi.

Nahuzunika umepitia uchungu huu.

Mama, najua ulikuwa na nia njema,

lakini kwa nini watu waishi hivi?

2

Sasa nimesoma maneno ya Mwenyezi Mungu.

Na sasa naelewa ukweli,

Naona jinsi binadamu walivyo wapotovu:

wakifuatilia umaarufu, raha na utajiri,

kutoona kwamba bahati ya maisha yao inadhibitiwa na Mungu.

Ndani ya maneno ya Mungu nimeamka.

Kweli kutafuta umaarufu na utajiri ni bure!

Maneno ya Mungu yanionyesha mwelekeo.

Maisha ya mwanadamu hutokana na kujua ukweli.

3

Sasa tunafurahia maneno ya Mungu kila siku,

mbele za Mungu tunafanya wajibu wetu.

Maneno Yake hutuongoza kuishi katika nuru.

Mbele Yake, tunafurahi sana.

Tunakataa mwili mpotovu, majaliwa, matarajio,

ukombozi wetu watuletea furaha.

Kutoka kwa Mungu tunapokea ukweli na uzima.

Nyumbani kwetu ni ufalme wa Kristo.

Sasa tunafurahia maneno ya Mungu kila siku,

mbele za Mungu tunafanya wajibu wetu.

Maneno Yake hutuongoza kuishi katika nuru.

Mbele Yake, tunafurahi sana.

Tunakataa mwili mpotovu, majaliwa, matarajio,

ukombozi wetu watuletea furaha.

Kutoka kwa Mungu tunapokea ukweli na uzima.

Nyumbani kwetu ni ufalme wa Kristo.

Iliyotangulia: 89 Kazi ya Mungu Hakika ni ya Ajabu

Inayofuata: 92 Mwenyezi Mungu Wetu Mpendwa

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp