Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

1032 Upendo wa Mungu kwa Wanadamu Hauna Mipaka

1 Unapaswa kuona kwamba nia njema za Mungu ni kwa ajili ya kuwaokoa watu na zote ni mfano halisi waupendo wa Mungu. Bila kujali kama unauangalia kwa mtazamo wa hekima katika kazi ya Mungu, kwa mtazamo wa hatua na mbinu katika kazi ya Mungu, au kwa mtazamo wa wakaa wa kazi au mipangilio na mipango Yake sahihi, chote kina upendo Wake. Kwa mfano, watu wote wana upendo kwa wana na mabinti zao; ili watoto wao waweze kutembea katika njia sahihi, wote wameweka jitihada kubwa. Wanapogundua udhaifu wa watoto wao, wazazi wanahofia kwamba ikiwa watazungumza kwa sauti laini, watoto wao hawatasikia na hawataweza kubadilika, na wanahofia kwamba ikiwa watazungumza kwa ukali sana, wataumiza staha ya watoto wao, na watoto wao hawataweza kuvumilia. Hii yote inafanyika kutokana na upendo, na wanaiwekea kiwango kikubwa cha jitihada.

2 Nyinyi kama wana na mabinti, huenda mmepitia upendo wa wazazi wenu. Upendo hauhusu tu upole na kujali; hata zaidi, unahusu kuadibu vikali. Zaidi ya haya, kila kitu Mungu afanyacho kwa wanadamu kinafanywa kutokana na upendoYeye hutenda chini ya sharti la mwanzo la upendo, ndiyo sababu Yeye kufanya kadri ya uwezo Wake kuleta wokovu kwa wanadamu waliopotoka. Hawashughulikii watu kwa kutimiza wajibu tu; Yeye hufanya mipango sahihi na kuiendeleza hatua kwa hatua. Kwa kuzingatia wakati, eneo, toni ya sauti, mbinu ya kuzungumza, na kiwango cha jitihada Anachoweka..., inaweza kusemwa kwamba yote hii inafichua upendo Wake, na yote inaelezea vizuri kabisa kwamba upendo Wake kwa binadamu hauna mipaka na haupimiki.

Umetoholewa kutoka katika “Je, Unauelewa Upendo wa Mungu kwa Binadamu?” katika Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo

Iliyotangulia:Mungu ametoa upendo Wake wote kwa watu

Inayofuata:Mungu Ampenda Mwanadamu na Majeraha

Maudhui Yanayohusiana

 • Upendo Safi Bila Dosari

  1 Upendo ni hisia safi sana, safi bila dosari. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Upendo hauweki masharti au vizuizi au ba…

 • Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

  I Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo …

 • Mradi tu Usimwache Mungu

  Upendo na huruma za Mungu hupenyeza katika kila sehemu ya kazi ya usimamizi Wake, na bila kujali kama watu wanaweza kuelewa nia njema za Mungu, bado …

 • Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa

  1 Kwa kuwa Mungu alimwokoa mwanadamu, Atamwongoza; kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa; kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfiki…