894 Mungu Huja Kati ya Wanadamu Kuwaokoa

Isipokuwa uongozi wa Roho Wangu, ni nani kati ya ukoo mzima wa wanadamu bado angekuwepo katika enzi hii?

Ninaishi na wanadamu siku baada ya siku Nikitenda pamoja na wanadamu, miongoni mwa wanadamu, ila hapana hata mmoja aliyegundua hili. Isipokuwa uongozi wa Roho Wangu, ni nani kati ya ukoo mzima wa wanadamu bado angekuwepo katika enzi hii? Zamani Nilisema kuwa “Niliwaumba binadamu, na kuwaongoza binadamu wote, na kuwaamuru binadamu wote”; hili halikuwa kweli? Inawezekana kuwa uzoefu wenu wa haya mambo ni finyu? Kauli ya “mtendaji-huduma” inafaa kukutosha kugharamia juhudi zenu maishani mkieleza kwa undani. Bila uzoefu halisi, mwanadamu hawezi kunifahamu, hangeweza kuja kunifahamu kupitia katika maneno Yangu. Hata hivyo, leo Nimekuja mwenyewe miongoni mwenu—hili halitakuwa lenye manufaa kwa kuelewa kwenu? Yawezekana kwamba kupata mwili Kwangu vilevile si ukombozi kwenu? Nisingeshuka kuja kwa mwanadamu Mimi binafsi, ukoo wote wa binadamu ungekuwa umeingiliwa na Shetani na kuwa mali yake, kwa sababu unachokiamini ni sura ya Shetani na hakihusiani na Mungu Mwenyewe kwa njia yoyote. Si huu ni ukombozi Wangu?

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 13” ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 893 Mungu Huwapa Wanadamu Ukweli na Uhai Bure

Inayofuata: 895 Mapenzi ya Mungu kwa Wanadamu Hayatabadilika Kamwe

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp