99 Upendo wa Kweli Miongoni mwa Binadamu

1

Unaonyesha ukweli na kumpa mwanadamu njia ya uzima wa milele.

Unavumilia maumivu ya kukataliwa na kushiriki katika taabu za mwanadamu.

Unatembea kati ya makanisa na kuwaongoza wateule Wako.

Unaishi pamoja na mwanadamu na kuteseka pamoja naye.

Umeumia katika maumivu kwa miongo.

Unamwaga upendo Wako wote kuushinda moyo wa mwanadamu.

Maneno Yako makali yamejaa upendo wa kweli.

Unahukumu na kumtakasa mwanadamu, kumjaribu na kumsafisha.

Unatamka maneno mapya kila siku, yote ili kumkamilisha mwanadamu.

Napitia hukumu Yako na sasa natakaswa kutokana na upotovu wote.

Napitia upendo Wako na moyo wangu unakugeukia Wewe.

2

Nimekuamini kwa miaka mingi lakini sikukujua kamwe.

Nikiwa nimejazwa dhana zisizofaa, nilikuomba tu neema.

Nilikubali kazi Yako, lakini sikukupenda kamwe.

Kwa kweli nilipoteza akili zote na sikufaa kuitwa binadamu.

Ulinionyesha huruma na upole na kufanya kila Uliloweza kuniokoa.

Hukumu Yako na usafishaji ni upendo Wako.

Kupitia kupata uzoefu wa hukumu Yako, najua haki Yako.

Naishi kama mtu mpya na upendo wangu Kwako ni safi zaidi.

Ninapoona uzuri Wako, moyo wangu unakuwa Wako.

Ninajinyenyekeza kwa mipango Yako bila majuto au malalamiko.

Nakupenda na kushuhudia, nami nitakuwa mwaminifu Kwako maisha yangu yote.

Iliyotangulia: 98 Upendo wa Mungu Utukuke Milele na Milele

Inayofuata: 100 Upendo Hukesha

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp