13 Mungu Mmoja wa Kweli Ameonekana katika Mwili

1

Radi saba zinatokea, zikitetemesha mbingu.

Mungu mmoja wa kweli ameonekana.

Huyu ni Roho Mtakatifu Mwenyewe akizungumza, ushuhuda wa Roho Mtakatifu.

Maneno Yake yana nguvu na mamlaka, yakitikisa mataifa yote.

Tunajua kwamba Mungu ameonekana katika mwili, Mwokozi amerejea.

Amekuja juu ya wingu jeupe.

Tumeisikia sauti ya Mungu na kuuona uso Wake.

Tunafuata nyayo za Mwanakondoo na tunahudhuria karamu.

Tunatoa mioyo yetu halisi Kwako.

Tukizingatia mzigo Wako, tunaendelea mbele

na kutekeleza wajibu wetu kwa uaminifu.

Matarajio ya ufalme ni machangamfu sana.

Wale wanaompenda Mungu wanaishi katika nuru,

furaha yao haina kifani.

Mungu ameunda kundi la washindi,

na Amepata utukufu.

Ufalme wa Kristo umeonekana duniani.

2

Tumekubali hukumu ya Mungu na kutakaswa.

Kupata wokovu wa Mungu ni baraka kuu.

Kwa kutenda ukweli na kuishi mbele ya Mungu.

Tunaishi ndani ya maneno ya Mungu,

Tunavyosoma maneno Yake zaidi,

ndivyo tunavyoelewa ukweli Zaidi.

Tunajifundisha kuingia katika ukweli wa maneno ya Mungu,

na tabia zetu zinabadilishwa.

Tunaishi kwa kudhihirisha mfano wa binadamu, tukimtukuza na kumshuhudia Mungu.

Tunatoa mioyo yetu halisi Kwako.

Tukizingatia mzigo Wako, tunaendelea mbele

na kutekeleza wajibu wetu kwa uaminifu.

Matarajio ya ufalme ni machangamfu sana.

Wale wanaompenda Mungu wanaishi katika nuru,

furaha yao haina kifani.

Mungu ameunda kundi la washindi,

na Amepata utukufu.

Ufalme wa Kristo umeonekana duniani.

3

Mwenyezi Mungu, tunayafikiria mapenzi Yako.

Tunafurahia kuacha kila kitu

na kujitumia kwa ajili Yako.

Matarajio ya ufalme ni machangamfu sana.

Wale wanaompenda Mungu wanaishi katika nuru,

furaha yao haina kifani.

Mungu ameunda kundi la washindi,

na Amepata utukufu.

Ufalme wa Kristo umeonekana

duniani, duniani, duniani, duniani.

Iliyotangulia: 11 Ufalme wa Mungu Umekuja Duniani

Inayofuata: 14 Kristo wa Siku za Mwisho Anaonekana Mashariki

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp