260 Natafuta tu Kumpenda Mungu Moyoni Mwangu

Ee Mungu! Siombi kuwa wengine wanivumilie au wanitendee vizuri, wala wanielewe au wanikubali mimi. Naomba tu kuwa niweze kukupenda moyoni mwangu, ya kuwa niwe huru moyoni mwangu, na kwamba dhamiri yangu iwe wazi. Siombi kuwa wengine wanipongeze, au waniheshimu sana; naomba tu nikuridhishe kutoka moyoni mwangu, na natamani tu niuweke ukweli katika vitendo ili nikuridhishe. Natekeleza wajibu wangu kwa kujitolea kikamilifu, na ingawa mimi ni mpumbavu na mwenye ubora duni wa tabia, najua kuwa Wewe ni mwema, na niko tayari kukupa vyote nilivyo navyo. Tamanio langu la pekee ni kutenda kulingana na moyo wangu wa upendo Kwako; Naomba nikutumikie Wewe tu kwa moyo wa kweli na kwa ukweli. Sitaki chochote zaidi ya kutekeleza mapenzi Yako maishani mwangu mwote, na kufanya vitu vyote kulingana na mapenzi Yako.

Iliyotangulia: 259 Mimi ni Kiumbe Mdogo Sana tu Aliyeumbwa

Inayofuata: 261 Natamani Kutoa Maisha Yangu Yote kwa Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp