201 Kufuatilia Ukweli Kuna Maana Sana

1

Watu wamepotoshwa kwa kina sana na Shetani, hawana mfanano wowote wa mwanadamu.

Kiburi, udanganyifu, ubinafsi, aibu—haya yote ni nyuso za Shetani.

Kwa kuwa watu wana asili ya Shetani, lazima wakubali hukumu ya Mungu.

Ni wakati tu ambapo watapata ukweli na uzima, ndipo kunaweza kuwa na mabadiliko katika tabia yao.

Imani katika Mungu na utiifu kwa kazi ya Mungu ni sheria ya Mbinguni na kanuni ya dunia.

Kupenda ukweli ni ufunguo wa kuingia katika maisha.

Kuingia katika uhalisi ni kwa njia ya kuelewa na kutenda ukweli tu.

Watu wanapomwamini Mungu, uwezo wa kumpenda na kumtii Mungu ni mkuu.

2

Maneno yote yaliyoonyeshwa na Kristo ni ukweli na uzima.

Kutenda na kupitia maneno ya Mungu ni msingi wa imani katika Mungu.

kupitia hukumu ya maneno ya Mungu huniruhusu nijijue.

Hukumu, majaribio, na usafishaji hutakasa upotovu wangu.

Kwamba Mungu huwatuza wema na kuadhibu waovu inaonyesha kuwa Yeye ni mwenye na mtakatifu.

Kukosa uhalisi wa ukweli ni kukumbwa na msiba.

Ni upumbavu na ujinga mno, kutokubali hukumu ya maneno ya Mungu.

Ukigundua hili, unapoadhibiwa na akichungulia kaburi, muda umeshapita mno.

3

Kristo wa siku za mwisho analeta njia ya uzima wa milele.

Thamani na umuhimu wa ukweli havieleweki kwa wote.

Uzima hauwezi kupatikana bila kupitia hukumu na kuadibu kwa Mungu.

Kuwepo kwa maana hutokana na Imani katika Mungu, na kufuatilia ukweli na maisha.

Maisha ya kweli ya mwanadamu ni kwa njia tu ya kupata ukweli.

Mungu huamua miisho ya watu kulingana na iwapo wana ukweli.

Matendo ya Mungu ni ya haki kabisa, na hayapaswi kutiliwa shaka na mwanadamu.

Janga kubwa litaangamiza yote yaliyo ya Shetani.

Wale ambao wamepata ukweli watabaki milele katika ufalme wa Mungu.

Iliyotangulia: 200 Neno la Mungu ni Nuru

Inayofuata: 202 Upendo wa Mungu Huuamsha Moyo Wangu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp