140 Ee Mungu, Nakukosa

1

Kwa kimya, bila neno nakutamani sana, ninasoma maneno Yako na kuhisi majuto zaidi.

Macho yangu yamejaa machozi, natumaini kuwa na Wewe tena hivi karibuni.

Moyo wangu mgumu umekukosea mara nyingi, makosa mengi yasiyoweza kurekebishwa.

Moyo wangu huumia nisipoweza kuuona uso Wako, nakungojea Wewe, katika majira ya kuchipua, ya joto, ya kupukutika kwa majani na ya baridi.

Mchana na usiku zinapita zikiwa zimejaa kujilaumu.

Machozi ya hatia yanatiririka chini usoni mwangu, nimejawa na majuto.

Natamani sana kuondoa makosa ya zamani, natamani kuufungua moyo wangu Kwako.

2

Nimejaa kumbukumbu ya siku hizo za furaha, mara nyingi mimi hufikiria kuhusu uso Wako na tabasamu Yako.

Sauti ya kicheko Chako kinasikika masikioni mwangu, siwezi kusahau haya katika maisha yangu yote.

Miaka hii mingi imeniletea mateso, upweke wangu na kuyumbayumba hakuvumiliki.

Ninaota kuhusu kuurejesha wakati nyuma, ninatamani sana kuwa na Wewe.

Uko wapi, mpendwa wangu?

Moyo wangu una hamu kubwa ya kuuona uso Wako, kuingia katika kumbatio Lako.

Moyo wangu daima utakuwa katika mapatano na Wako, na kujenga wimbo mzuri wa upendo.

Iliyotangulia: 139 Ee Mungu, Wajua Jinsi Ninavyokutamani Sana?

Inayofuata: 141 Kumtamani Sana Mwenyezi Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp