272 Ili Kuishi Mtu Lazima Awe na Ukweli

1

Yule anayemwamini Mungu

lazima awe na maneno ya Mungu pamoja naye ili kuepuka maisha duni.

Mwangaza unang’aa kutoka katika neno la Mungu,

bila maneno ya Mungu, sijui mimi ni nani.

Ili kuiweka mioyo yetu karibu na Mungu,

lazima tusome maneno Yake na kushiriki na ukweli.

Ili kupokea kibali cha Mungu, lazima tutafute ukweli.

Njia ya uzima inakuwa ya kupendeza zaidi chini ya miguu yangu.

Kubadilika kwa tabia yangu kutapongezwa na Mungu.

Nitaendelea kujitahidi kufanya bidii na kusonga mbele.

Mafanikio yananiita.

2

Wakati tunakabiliana na mambo, tunafaa kuomba na kumtafuta Mungu.

Na ni kitu cha furaha kuwa na Roho Mtakatifu.

Tukiwa na Kristo kutuongoza na maneno ya kuonyesha njia,

inawezekana kupata ukweli.

Kumwamini Kristo kwa uthabiti, kushikilia imara kanuni za ukweli,

Sitajuta.

Ili kupokea kibali cha Mungu, lazima tutafute ukweli.

Njia ya uzima inakuwa ya kupendeza zaidi chini ya miguu yangu.

Kubadilika kwa tabia yangu kutapongezwa na Mungu.

Nitaendelea kujitahidi kufanya bidii na kusonga mbele.

Mafanikio yananiita.

3

Ili kuishi maisha ya maana, lazima tuwe na ukweli.

Maisha bila ukweli ni maisha ya mateso.

Kuamini katika kudura hakutatatua shida zetu.

Kupata tu ukweli, ndiyo tutaweza kuwa na uhalisi wa maisha,

ndiyo tutaweza kuwa na uhalisi wa maisha.

Kujua kwamba kazi ya Mungu ni ya haki kabisa.

Binadamu mjanja zaidi hawezi kumdanganya Mungu.

Ili kupokea kibali cha Mungu, lazima tutafute ukweli.

Njia ya uzima inakuwa ya kupendeza zaidi chini ya miguu yangu.

Kubadilika kwa tabia yangu kutapongezwa na Mungu.

Nitaendelea kujitahidi kufanya bidii na kusonga mbele.

Mafanikio yananiita.

Mafanikio yananiita.

Iliyotangulia: 271 Nitainuka Tena kwa Nguvu

Inayofuata: 273 Sitapumzika Mpaka Nipate Ukweli

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp