Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

41 Maisha yetu Ni Furaha Isiyo na Mwisho

Ndugu hukusanyika kanisani kuimba

kwa furaha na kucheza katika kumsifu Mungu, Mfalme.

Alipata mwili na kuja duniani,

Ananena ukweli ili kutuokoa.

Tunaisikia sauti ya Mungu, tumenyakuliwa na tuna furaha sana.

Mbele ya kiti cha enzi, tunahudhuria sikukuu!

Mbele ya kiti cha enzi, tunahudhuria sherehe!

Tunafurahia maneno ya Mungu, tunaishi mbele Zake.

Tunaimba na kucheka, furaha haina mwisho!

Furaha haina mwisho!

Ndugu wanapokutana, tunahisi ukaribu na kila mmoja.

Maneno hayawezi kuelezea furaha yetu, tunafurahi tukiwa pamoja.

Tunashiriki maneno ya Mungu, tunashiriki uzoefu.

Tunaelewa ukweli, furaha huja kwa roho zetu.

Hakuna tambiko, hakuna sheria—vyote vimekombolewa na viko huru!

Hakuna tambiko, hakuna sheria—vyote vimekombolewa na viko huru!

Tunafurahia maneno ya Mungu, tunaishi mbele Zake.

Tunaimba na kucheka, furaha haina mwisho!

Tunahudhuria sherehe ya harusi ya Mwanakondoo,

maisha ya ufalme ni mazuri sana.

Maneno ya Mungu yanatuhukumu na kututakasa,

sasa tumefanywa upya.

Wajibu wetu tunatimiza, tukifanya bidii kufikia mapenzi ya Mungu.

Kwa amani na furaha tumejazwa.

Tunafurahia maneno ya Mungu, tunaishi mbele Zake.

Tunaimba na kucheka, furaha haina mwisho!

Furaha haina mwisho!

Ndugu, inukeni, tuwe wenye nia moja

katika kutekeleza wajibu wetu wote, wajibu wa binadamu.

Hebu tumwinue na tumshuhudie Mungu, ili Apate utukufu wote.

Sauti zetu zote zainuliwa katika sifa kuimba kwa furaha sana.

Ndugu, hebu tuimbe na kusifu kwa sauti kubwa!

Ndugu, hebu tuimbe na kusifu kwa sauti kubwa!

Tunafurahia maneno ya Mungu, tunaishi mbele Zake.

Tunaimba na kucheka, furaha haina mwisho!

Tunafurahia maneno ya Mungu, tunaishi mbele Zake.

Tunaimba na kucheka, furaha haina mwisho!

Furaha haina mwisho!

Iliyotangulia:Kuingia Katika Enzi ya Kumpenda Mungu

Inayofuata:Ufalme Wa Kristo Ni Nyumbani Kwenye Joto

Maudhui Yanayohusiana

 • Umuhumi wa Maombi

  1 Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, ku…

 • Njia Yote Pamoja na Wewe

  1 Naelea na kuzurura katika dunia, nikihisi kupotea na mnyonge ndani. Ninapoamshwa na maneno Yako ya upole, naona kuonekana kwa mwanga. Maneno Yako ya…

 • Nitampenda Mungu Milele

  1 Ee Mungu! Maneno Yako yananiita nirudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Mara nyingi sana nilikuwa dhaifu na hasi, m…

 • Furaha Katika Nchi ya Kanaani

  1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu kuingia kati…