73 Ona Anayemtolea Mungu Ushuhuda Mzuri

1

Mwenyezi Mungu, nakupenda.

Naimba wimbo wa sifa,

nikicheza ngoma ya furaha na changamfu, kwa ajili Yako tu,

Mwenyezi Mungu.

Kwa uinuaji wa Mungu na neema Yake,

mbele ya kiti Chake tunainuliwa.

Mungu wa kweli Ametushinda;

sote tunakuja kumsifu Yeye.

Kila mtu njoo na mcheze,

njoo muimbe wimbo wa furaha wa kusifu.

Ukiniuliza mimi mbona nacheza hivyo,

moyo wangu unapenda, unampenda Mungu!

2

Leo, naja mbele za Mungu

na kula na kunywa na kufurahia maneno Yake.

Nakubali hukumu Yake, na ninatakaswa,

nina furaha kuishi mfano wa binadamu.

Hukumu ya Mungu ni upendo Wake wa kweli,

majaribu ni baraka Zake.

Mungu amenipa maisha mapya.

Nitamsifu Mungu milele.

Kila mtu njoo na mcheze,

njoo muimbe wimbo wa furaha wa kusifu.

Ukiniuliza mimi mbona nacheza hivyo,

moyo wangu unapenda, unampenda Mungu!

3

Maneno ya Mungu yana mamlaka makubwa,

yanatuongoza kupitia shida.

Yanatuongoza na kutulinda kila wakati,

tunahisi Mungu ni mkarimu na mzuri.

Haijalishi jaribio, hatutaacha kamwe

kumpenda Mungu siku zote.

Imani yetu inakamilishwa katika dhiki.

Tunaona Mungu ni mwenye busara na mkuu.

Kila mtu njoo na mcheze,

njoo muimbe wimbo wa furaha wa kusifu.

Ukiniuliza mimi mbona nacheza hivyo,

moyo wangu unapenda, unampenda Mungu!

4

Upendo wa Mungu ni mkubwa sana kuelezeka kikamilifu.

Milele tutamsifu Mungu.

Kwa nia moja, tunamshuhudia Mungu.

Tutatekeleza mapenzi Yake.

Kwa uaminifu, tunatimiza wajibu wetu,

ili tuweze kulipiza upendo wa Mungu.

Mungu Anapata sifa Zayuni,

mioyo yetu imejawa na furaha.

Kila mtu njoo na mcheze,

njoo muimbe wimbo wa furaha wa kusifu.

Ukiniuliza mimi mbona nacheza hivyo,

moyo wangu unapenda, unampenda Mungu!

Iliyotangulia: 72 Hatuwezi Kuacha Kuimba Nyimbo za Upendo kwa Mungu

Inayofuata: 74 Ee Mpendwa Wangu, Nakutafuta Wewe

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp