Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

1000 Jinsi ya Kuitemba Njia ya Petro

1 Kwa ufupi, kuishika njia ya Petro katika imani ya mtu kunamaanisha kuitembea njia ya kufuatilia ukweli, ambayo pia ni njia ya kupata kujijua na kubadilisha tabia yako kwa kweli. Ni kwa kuitembea tu njia ya Petro ndio mtu atakuwa kwenye njia ya kukamilishwa na Mungu. Mtu lazima aelewe hasa, jinsi ya kuitembea njia ya Petro, na vilevile jinsi ya kuiweka katika vitendo. Kwanza, mtu lazima aweke kando madhumuni yake mwenyewe, shughuli zisizofaa, na hata familia na vitu vyote vya mwili wake. Lazima ajitolee kwa moyo wote; yaani, mtu ajitolee kabisa kwa neno la Mungu, azingatie kula na kunywa maneno ya Mungu, amakinikie kutafuta ukweli na utafutaji wa nia za Mungu katika maneno Yake, na ajaribu kufahamu mapenzi ya Mungu katika kila kitu. Hii ndiyo mbinu ya msingi na muhimu zaidi ya utendaji. Hili ndilo alilofanya Petro baada ya kumwona Bwana Yesu, na ni kwa kutenda kwa njia hii tu ndio mtu anaweza kupata matokeo bora zaidi.

2 Kujitolea kwa moyo wote kwa maneno ya Mungu hasa kunahusisha kutafuta ukweli, kutafuta nia za Mungu ndani ya maneno Yake, kuzingatia kuyaelewa mapenzi ya Mungu, na kuelewa na kupata ukweli zaidi kutoka kwa maneno ya Mungu. Wakati wa kusoma maneno Yake, Petro hakuwa anazingatia kuelewa mafundisho ya dini, sembuse kulenga kupata maarifa ya teolojia; badala yake, alimakinikia kuelewa ukweli na kufahamu mapenzi ya Mungu, na vilevile kutimiza ufahamu wa tabia yake na uzuri wake. Petro pia alijaribu kuelewa hali potovu mbalimbali za mwanadamu kutoka kwa maneno ya Mungu, asili potovu ya mwanadamu na dosari za kweli za mwanadamu, hivyo kufikia hali zote za matakwa ya Mungu kwa mwanadamu ili kumridhisha Yeye. Petro alikuwa na utendaji mwingi sahihi ambao ulifuata maneno ya Mungu; hili linalingana zaidi na mapenzi ya Mungu, na ilikuwa njia bora ambayo mtu angeshirikiana anapopitia kazi ya Mungu.

Umetoholewa kutoka katika “Jinsi ya Kuishika Njia ya Petro” katika Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo

Iliyotangulia:Huu ni Mfano wa Mtu halisi

Inayofuata:Mungu Anawataka Watu Zaidi Wapate Wokovu Wake

Maudhui Yanayohusiana

 • Nitampenda Mungu Milele

  1 Ee Mungu! Maneno Yako yananiita nirudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Mara nyingi sana nilikuwa dhaifu na hasi, m…

 • Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa

  1 Kwa kuwa Mungu alimwokoa mwanadamu, Atamwongoza; kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa; kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfiki…

 • Upendo wa Kweli

  1 Namrudia Mungu na kuuona uso Wake upendezao, nikiwa huru kutokana na udhibiti wa kaida za dini. Neno Lake linanijaza na raha na furaha kutoka kwa ne…

 • Furaha Katika Nchi ya Kanaani

  1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu kuingia kati…