Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Babeli Kuu Imeanguka

Sasa dunia inaanguka!

Babeli inapoozwa!

Dunia ya dini—

itakosaje kuharibiwa na mamlaka ya Mungu duniani?

Nani anathubutu kumuasi na kumpinga Mungu?

Nani anathubutu kumuasi na kumpinga Mungu?

Je, wote ni maafisa wa dini?

Je, wao ni walimu wa sheria?

Je, wao ni watawala na mamlaka duniani?

Je, ni malaika?

Ni nani asiyesherehekea ukamilifu na ujazo wa mwili wa Mungu?

Kati ya watu wote,

ni nani asiyeimba sifa za Mungu bila kukoma, ni nani asiye na furaha isiyokoma?

Ni nani asiyesherehekea ukamilifu na ujazo wa mwili wa Mungu?

Kati ya watu wote,

ni nani asiyeimba sifa za Mungu bila kukoma, ni nani asiye na furaha isiyokoma?

kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Mungu Anashuka na Hukumu

Inayofuata:Kazi ya Mungu Inaendelea Kuboreshwa

Maudhui Yanayohusiana