244 Kumwasi Mungu Kunaweza Kuishia tu kwa Adhabu

1 Mungu ametumia maelfu kadhaa ya miaka kukamilisha usimamizi Wake, akipita katika enzi kadhaa kusimamia wanadamu Wake. Jambo Analotaka kutoona zaidi ni wanadamu ambao Yeye huokoa wakimwasi, na zaidi ya hili matukio ya watu ambao awali walifurahia neema Yake wakimsaliti. Kila kitu Anachofanya ni kuwaokoa watu zaidi, kuwapata watu zaidi wanaoelewa mapenzi Yake na ambao ni wa akili moja na Yeye kuingia katika ufalme Wake na kufurahia ahadi Zake.

2 Kwa hivyo, kile Anachochukia sana zaidi ni matukio ya watu wakimwasi katika familia Yake mwenyewe na, katika mwelekeo wa Mungu wa kushughulikia watu hawa, kuna njia bora kuliko adhabu na kulaani? Wale ambao wanaadhibiwa wana chaguo gani lingine? Matokeo ya kumwasi Mungu, kukufuru dhidi Yake na kumsaliti yanaweza kuwa adhabu pekee. Hii ni tabia ya Mungu na ni njia bora kabisa Mungu huwashughulikia watu waovu. Hakuna mtu ambaye amewahi kuweza kufanikiwa bila kugunduliwa; ilikuwa namna hivi kabla, ni namna hivi sasa na itakuwa namna hivi baadaye, na huu ni ukweli ambao hautawahi kubadilika.

Umetoholewa kutoka katika Hitimisho wa Mifano Maarufu ya Adhabu kwa Kumpinga Mwenyezi Mungu

Iliyotangulia: 243 Matokeo ya Kumkataa Kristo wa Siku za Mwisho

Inayofuata: 245 Mungu Atumai Watu Wasigeuke Mafarisayo

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp