115 Ukweli wa Maneno ya Mungu ni wa Thamani Sana

Mungu amekuja duniani na Anaishi kati yetu, Akionyesha ukweli mwingi.

Sasa sihitaji tena kuzunguka kwa sababu maneno ya Mungu yanaweza kuniongoza.

Kusoma maneno Yake kila siku na kuishi mbele Yake, nimekua polepole katika maisha yangu.

Nimepitia hukumu na nimepitia mateso na majaribu yote, tabia yangu potovu imetakaswa.

Naona kwamba tabia ya Mungu ni yenye haki na takatifu, na sasa nina moyo umchao Mungu.

Kutenda maneno ya Mungu kunaniruhusu nielewe ukweli na kuona jinsi Mungu anavyopendeza.

Sasa naelewa ukweli na ninaishi kwa kutegemea maneno ya Mungu, nimetupa vizuizi vya mwili.

Nikitekeleza wajibu wangu, najifunza kutenda ukweli, na sasa nafanana na mtu mwaminifu.

Kuachana na tabia zangu potovu kunanifanya nione jinsi ukweli wa neno la Mungu ulivyo wa thamani.

Kwa mwongozo wa maneno ya Mungu siogopi dhiki au njia ngumu, imani yangu imeimarika sana.

Najifunza kumcha Mungu na kuepuka maovu, na njia yangu inakuwa angavu kila wakati.

Nitamfuata Kristo hadi mwisho na kujitolea Kwake, nitakaribisha kuonekana kwa uso wa Mungu wenye tabasamu.

Iliyotangulia: 114 Sala ya Watu wa Mungu

Inayofuata: 116 Ni Watu Waaminifu Pekee Walio na Mfano wa Binadamu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp