1020 Watu Wote wa Mungu Hufungua Hisia Zao

1 Ambamo Mimi ni mfalme juu ya vyote, na Ninamotawala juu ya vyote. Tangu mwanzo wa uumbaji hadi sasa, wana wangu, wakiongozwa na Mimi, wameyapitia matatizo mengi sana ya maisha, dhuluma nyingi za ulimwengu, mageuko mengi sana ya ulimwengu wa binadamu, lakini sasa huishi katika nuru Yangu. Je, ni nani asiyelia kwa ajili ya dhuluma za jana? Je, ni nani ambaye hatokwi na machozi juu ya dhiki za kuifikia leo? Na tena, kuna wowote ambao hawaichukui fursa hii kujitolea kwa dhati kwa ajili Yangu? Je, kuna wowote ambao hawachukui fursa hii kuonyesha uchu unaochipuka mioyoni mwao? Je, kuna wowote ambao, wakati huu, hawaongei juu ya yale waliyoyapitia?

2 Wakati huu, binadamu wote wanaziweka wakfu sehemu zao zilizo bora zaidi kwa ajili Yangu. Ni wangapi wanateseka na majuto kwa upumbavu wa giza wa jana, ni wangapi wanajichukia kwa sababu ya malengo ya jana. Binadamu wote wamepata kujijua, wote wameona matendo ya Shetani na maajabu Yangu, ndani ya nyoyo zao, sasa kuna nafasi kwa ajili Yangu. Sitakumbana tena na chuki na kukataliwa miongoni mwa wanadamu, kwani kazi Yangu kubwa imekwisha tekelezwa, na haizuiliwi tena.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 18” ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 1019 Mungu Anatengeneza Kesho Nzuri Zaidi kwa Binadamu

Inayofuata: 1021 Aandaacho Mungu kwa Binadamu Hakiwezi Kuwazika

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp