199 Jina la Mungu Linatukuzwa Kati ya Mataifa

1

Kusudi la hukumu ya Mungu ni kuhimiza utiifu wa mwanadamu;

kusudi la adabu ya Mungu ni kuruhusu mbadiliko wa mwanadamu.

Ingawa kazi ya Mungu ni kwa ajili ya usimamizi Wake,

hakuna kitu Anachofanya kisicho kizuri kwa mwanadamu.

Mungu anataka nchi mbali na Israeli watii jinsi Waisraeli walivyofanya,

kuwafanya kuwa wanadamu wa kweli,

ili katika nchi mbali na Israeli wafuasi wa Mungu watapatikana.

Huu ni usimamizi wa Mungu.

Ni kazi Yake katika nchi ya Mataifa.

2

Leo, watu wengi bado hawaelewi usimamizi wa Mungu.

Ni kwa sababu kujali kwao na tamaa vinalenga siku za usoni watakazopata.

Haijalishi kile ambacho Mungu ananena, hawamtafuti Yeye na kazi Yake.

Mwanadamu anafikiria tu kuhusu nchi ya kesho.

Hili likiendelea, kazi ya Mungu itakua vipi?

Injili itaeneaje duniani?

Lazima ujue wakati kazi ya Mungu inakua,

mtatawanyika mbali sana.

Mungu atakupiga, Mungu atakupiga,

kama jinsi Yehova alivyoyafanyia makabila ya Israeli,

hivyo injili itaenea duniani,

Kazi ya Mungu katika nchi za Mataifa.

Kati ya vijana na wazee jina la Mungu litapanuka,

na kutoka kwa midomo ya makabila yote jina takatifu la Mungu litasifiwa.

3

Katika nyakati za mwisho, katika enzi ya mwisho,

jina la Mungu litatukuzwa kati ya Mataifa.

Matendo ya Mungu yataonekana na watu wa Mataifa,

na watamwita Mwenyezi,

na hivyo maneno Yake siku moja yatatimia.

Mungu atamfanya mwanadamu ajue ukweli

Yeye sio tu Mungu wa Waisraeli,

lakini Mungu wa Mataifa yote pia,

na wale waliolaaniwa na Yeye.

Mungu atamfanya kila mwanadamu kuona kuwa Mungu wa uumbaji wote ni Yeye.

Hii ndiyo kazi kubwa zaidi ya Mungu,

kusudi la kazi Yake katika siku za mwisho,

na kazi pekee Atakayofanya katika siku za mwisho.

Umetoholewa kutoka katika “Kazi ya Kueneza Injili Ni Kazi ya Kuokoa Binadamu Pia” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 198 Maana ya Kazi ya Mungu ya Hukumu Katika Siku za Mwisho

Inayofuata: 200 Hakuna Anayeweza Kufanya Kazi Badala Yake

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

263 Njia Yote Pamoja na Wewe

1 Naelea na kuzurura katika dunia, nikihisi kupotea na mnyonge ndani. Ninapoamshwa na maneno Yako ya upole, naona kuonekana kwa mwanga....

47 Furaha Katika Nchi ya Kanaani

1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki