87 Upendo wa Mungu Unasambaa Duniani

1

Miaka elfu mbili iliyopita, kwa utukufu Uliondoka Yudea.

Sasa katika siku za mwisho, kwa unyenyekevu na Uliyefichwa, Umekuja nchini China.

Unaonekana na kufanya kazi, na kuonyesha ukweli, kuwahukumu na kuwatakasa wanadamu.

Maneno Yako yanaonyesha uweza Wako na yameshinda na kukamilisha kundi la watu.

Ulipa kila gharama, Umetoa kila kitu kwa ajili ya wokovu wa binadamu.

2

Wewe ni mkuu na mwenye heshima, lakini Unajinyenyekeza na kuonekana kufanya kazi Yako.

Wenye kiburi wanashindwa na kujisalimisha mbele Yako.

Hukumu na kuadibu kwa maneno Yako kunafichua haki na utakatifu Wako.

Kupitia usafishaji mkubwa sana wanadamu waliopotoka sana wanatakaswa.

Kuadibu na hukumu Yako ni upendo Wako na baraka kwa mwanadamu.

3

Kupata mwili kufanya kazi, Unastahimili fedheha kubwa.

Unakabiliwa na shutuma ya mwanadamu na kufuru, Umekataliwa na enzi hii.

Kupitia miaka mingi ya taabu, Umeendelea kumwokoa binadamu,

Ukizungumza na kufanya kazi kupitia damu, jasho, na machozi Yako, Ukisubiri mabadiliko ya mwanadamu.

Haki na uaminifu Wako vimeshinda mioyo ya mamilioni.

4

Tunapendezwa sana tunapoona unyenyekevu na kujificha Kwako.

Tunajazwa na hofu na utii tunapoona haki na utakatifu Wako.

Maneno ya mwanadamu hayatoshi kutoa ushuhuda kwa matendo Yako.

Shukrani na upendo vimekita mizizi mioyoni mwetu.

Kila sehemu ya nguvu yetu ndogo zitaenda katika kutekeleza wajibu wetu kwa uaminifu.

Iliyotangulia: 86 Ni Mungu Mwenyezi Anipendaye

Inayofuata: 88 Nashukuru kwa Upendo wa Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp