130 Neema ya Mungu ni ya Kina Kama Bahari

1

Kuhesabu neema ya Mungu kunafanya machozi yangu yatiririke.

Nyuma ya midomo iliyofungwa, vilio kooni mwangu.

Nilipokuwa na njaa, bila nguvu, Ulinipa lishe bora.

Nilipokuwa nimeumizwa na mwenye huzuni, nilikashifiwa na kuachwa,

mkono Wako ulifuta machozi kutoka kwenye shavu langu, na ni Wewe uliyenifariji.

Ee Mungu, ee Mungu, ee Mungu, ee Mungu! Nilipotetemeka nje katika baridi,

Ee Mungu, ee Mungu, ee Mungu, ee Mungu, Wewe ndiwe Uliyenipa joto vile.

Taabu iliponilemea sana, Ulinipa huruma Yako.

2

Nilipokuwa peke yangu na niliyepotea, maneno Yako mazuri yaliniliwaza na kunitia moyo.

Nilipolemewa na ugonjwa, tiba Ulinipa na kunionyesha.

Nilipokuwa na kiburi na bure, adhabu Yako haikuzuiliwa.

Nilipoaibishwa na kukosewa, mfano Wako ulinitia moyo.

Ee Mungu, ee Mungu, ee Mungu, ee Mungu! Nilikuwa gizani na kupoteza tumaini,

Ee Mungu, ee Mungu, ee Mungu, ee Mungu, na maneno Yako yalimulika mwanga juu yangu.

Hakukuwa na njia yoyote ya mimi kwendelea, kwa hiyo Ulimulika mwisho wa njia.

3

Nilipomezwa na bahari, Ulinifikia kutoka kwenye meli.

Nilipozingirwa na Shetani, upanga Wako ulininasua kutoka kwa mshiko wake.

Nilishinda pamoja na Wewe, na Ulitabasamu juu yangu pia.

Kuna maneno mengi ndani ya moyo wangu. Kutoka pale ulipo moyo Wangu hauwezi kupotea.

Ee Mungu, ee Mungu, ee Mungu, ee Mungu! Neema ya Mungu ni kubwa kama milima.

Ee Mungu, ee Mungu, ee Mungu, ee Mungu! Maisha yangu yote hayawezi kulipiza.

Neema Yako inaenda kwa kina sana. Kuielezea, sina wino wa kutosha.

Iliyotangulia: 129 Siwezi Kusema Yote Yaliyo Moyoni Mwangu

Inayofuata: 132 Kuachana kwa Hisia

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp