Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

1026 Mungu Kupitia Maumivu ya Mwanadamu ni kwa Maana Sana

1 Kupata mwili kukifanya kazi katika hatua hizi mbili kwa njia hii inamaanisha kuwa zimefanywa vizuri kabisa na kuwa zimetengeneza mlolongo. Kwa nini Ninasema zimetengeneza mlolongo? Ni kwa sababu kazi ambayo imefanywa katika hatua hizi mbili na kupata mwili kwa kwanza na kupata mwili kwa sasa inatatua mateso yote katika maisha ya mwanadamu na uchungu wa mwanadamu mwenyewe. Mbona ni muhimu kwa kupata mwili kufanya hili Mwenyewe? Uchungu wa kuzaliwa, kufa, magonjwa na uzee uliopo katika maisha yote ya mwanadamu ulitoka wapi? Ni kwa sababu ya nini ndio watu walikuwa na vitu hivi mwanzo? Je, mwanadamu alikuwa na vitu hivi alipoumbwa mara ya kwanza? Hakuwa navyo, sivyo? Hivyo, vitu hivi vilitoka wapi? Uchungu wa mwili, mateso yake na utupu wake, na ubaya uliozidi kiasi wa dunia ulikuja baada ya wanadamu kupotoshwa na Shetani.

2 Kutoka wakati Shetani alipoanza kuwatesa watu; matokeo yalikuwa kwamba walisawijika zaidi na zaidi. Maradhi ya wanadamu yakawa makubwa zaidi na mateso yao yakawa makali zaidi.Watu zaidi walihisi utupu na tanzia ya dunia ya binadamu na vilevile kutoweza kwao kuendelea kuishi hapo, na walihisi matumaini madogo zaidi kwa dunia. Yote haya yalikuja baada ya kupotoshwa na Shetani. Hiyo ni kusema, kuteseka huku bado kuko chini ya uongozi wa Shetani; ni mojawapo ya udhaifu wa kusababisha mauti wa mwanadamu. Shetani bado ana uwezo wa kutumia vile vitu ambavyo amevipotosha na kuvikanyagia chini—ni silaha ambazo Shetani anaweza kutumia dhidi ya mwanadamu.

3 Kufuatia hilo, Mungu mwenye mwili alianza hatua ya pili ya kazi, Akiumia kwa niaba ya mwanadamu kwa wakati uo huo Akifanya kazi ya ushindi. Kwa kupata mwili kulipa gharama ya mateso, udhaifu wa kusababisha mauti katika mwanadamu utafikishwa kikomo na kusuluhishwa. Baada ya kupitia kwa uchungu duniani kumrejesha mwanadamu, Shetani hatakuwa na mshiko tena kwa mwanadamu na mwanadamu atamgeukia Mungu kikamilifu. Hili tu ndilo linaloweza kuitwa binadamu kumilikiwa na Mungu kikamilifu. Kupitia uchungu wa dunia kwa kupata mwili na kustahimili Kwakeuchungu huu kwa niaba ya binadamu si jambo lisilo la maana.

Umetoholewa kutoka katika “Maana ya Mungu Kuupitia Uchungu wa Dunia” katika Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo

Iliyotangulia:Mungu Apata Mwili Kuteseka kwa Niaba ya Mwanadamu

Inayofuata:Mungu Huvumilia Aibu Kubwa Kuwaokoa Wanadamu

Maudhui Yanayohusiana

 • Ni kwa Njia ya Majaribio ya Kuumiza tu Ndipo Unaweza Kuyajua Uzuri wa Mungu

  I Kufuatilia kuridhika kwa Mungu ni kutenda maneno ya Mungu kwa upendo kwa Mungu. Bila kujali wakati, kama wengine hawana nguvu, ndani, moyo wako bado…

 • Upendo Safi Bila Dosari

  1 Upendo ni hisia safi sana, safi bila dosari. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Upendo hauweki masharti au vizuizi au ba…

 • Tilia Maanani Majaliwa ya Binadamu

  1 Mungu anawahimiza watu wa makabila yote, nchi zote na hata nyanja: Sikilizeni sauti ya Mungu na kuona kazi Yake; tilia maanani jaala ya binadamu; mf…

 • Upendo wa Kweli

  1 Namrudia Mungu na kuuona uso Wake upendezao, nikiwa huru kutokana na udhibiti wa kaida za dini. Neno Lake linanijaza na raha na furaha kutoka kwa ne…