14 Kristo wa Siku za Mwisho Anaonekana Mashariki

1

Mwanga mkubwa unaonekana juu ya dunia ya giza.

Umeme wa mashariki umeonekana.

Huku ndiko kuja kwa Mwana wa Adamu

Tungekosaje kuimba kwa sauti?

Mwenyezi Mungu ndiye Mungu mwenye mwili wa vitendo.

Tunakusifu Wewe wakati wote, Mwenyezi Mungu!

Tunainua sauti zetu kuimbia kuhusu Mungu.

Watu wote wanalitukuza jina takatifu la Mungu.

Jina la Mwenyezi Mungu linavuma kutoka Mashariki hadi Magharibi, Yeye ndiye Jua linalong'aa.

Mungu amepata ufalme na umekuja duniani.

Ee, ufalme wa Kristo umeonekana.

Ee, ufalme wa Kristo umeonekana.

2

Mfalme mshindi anaketi juu ya kiti cha enzi.

Alifanikiwa katika ukombozi Wake na amerudi katika mwili.

Hukumu inaanza na nyumba ya Mungu.

Hukumu ya siku za mwisho imeanza.

Ukweli ambao Mungu anaonyesha unaenea duniani kote.

Ee Mungu, tunainua sauti zetu kumsifu.

Ufalme wa mbinguni umekuja duniani.

Ee Mungu, tunainua sauti zetu kumsifu.

Watu wote wanalitukuza jina takatifu la Mungu.

Jina la Mwenyezi Mungu linavuma kutoka Mashariki hadi Magharibi, Yeye ndiye Jua linalong'aa.

Mungu amepata ufalme na umekuja duniani.

Ee, ufalme wa Kristo umeonekana.

Ee, ufalme wa Kristo umeonekana.

3

Mwenyezi Mungu mwenye mwili, Mungu wa vitendo.

Ananena maneno, akitembea katika makanisa.

Upendo wa Mungu uko pamoja nasi.

Yeye binafsi huwanyunyizia na kuwakimu watu Wake, na kufanya kundi la washindi!

Mwenyezi Mungu amemshinda Shetani!

Mwenyezi Mungu, Amepata utukufu.

Kazi Yake kuu imekamilika kikamilifu.

Mwenyezi Mungu, Amepata utukufu.

Watu wote wanalitukuza jina takatifu la Mungu.

Jina la Mwenyezi Mungu linavuma kutoka Mashariki hadi Magharibi, Yeye ndiye Jua linalong'aa.

Mungu amepata ufalme na umekuja duniani.

Ee, ufalme wa Kristo umeonekana.

Ee, ufalme wa Kristo umeonekana.

4

Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, ni mshindi.

Shetani, joka kubwa jekundu, limeaibika kabisa.

Watakatifu wa enzi zote wamefufuka kutoka kwa wafu,

wakifurahia baraka za ufalme wa mbinguni.

Injili ya ufalme imeenea duniani kote.

Usipoteze wakati kufuata nyayo za Mungu.

Tunatafuta kwa uwezo wetu wote ili tusiwachwe nyuma.

Usipoteze muda kufuata nyayo za Mungu.

Tunamsifu Mwenyezi Mungu kwa sauti kubwa, tunamwimbia na kumchezea.

Maneno ya Mungu yanatimiza yote na kuonyesha uweza Wake!

Tunamsifu Mwenyezi Mungu kwa sauti kubwa, tunamwimbia na kumchezea.

Maneno ya Mungu yanatimiza yote na kuonyesha uweza Wake!

Maneno ya Mungu yanatimiza yote na kuonyesha uweza Wake!

Watu wote wanalitukuza jina takatifu la Mungu.

Jina la Mwenyezi Mungu linavuma kutoka Mashariki hadi Magharibi, Yeye ndiye Jua linalong'aa.

Mungu amepata ufalme na umekuja duniani.

Ee, ufalme wa Kristo umeonekana.

Ee, ufalme wa Kristo umeonekana.

Ee, ufalme wa Kristo umeonekana.

Ee, ufalme wa Kristo umeonekana.

Iliyotangulia: 13 Mungu Mmoja wa Kweli Ameonekana katika Mwili

Inayofuata: 15 Mungu Mwenye Haki, Uweza na wa Utendaji

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp