79 Mwenyezi Mungu, Mpendwa Wetu

Ni maneno ya nani yawaangazia walio gizani?

Ni maneno ya nani yawaangazia walio gizani?

Ni maneno ya nani yawaangazia walio gizani,

na kutuongoza na kuturudisha kwa Mungu?

Ni maneno ya yani hutiririka kama chemchemi daima,

yakiinyunyizia na kuilisha mioyo yetu?

Mwenyezi Mungu, Mpendwa,

Wewe ni kurudi kwa Mwokozi, Mwana wa Adamu.

Mwenyezi Mungu, Mpendwa,

Unakuja, wafanya kazi, wamletea mwanadamu ukweli na mwanga.

Ni maneno ya nani ndiyo ukweli na uzima wenye thamani,

yakitakasa upotovu wetu na kutubadilisha?

Ni maneno ya nani ndiyo kama upanga wa haki,

yakiishinda mioyo kumkubali Mungu?

Mwenyezi Mungu, Mpendwa,

Maneno yako huhukumu, huleta uzima wa milele.

Mwenyezi Mungu, Mpendwa,

Watutakasa kuwa watu wapya.

Ni jina la nani takatifu lienealo kila mahali?

Ni maneno ya nani huwashinda watu wote wa Mungu,

kwamba wanakuja mbele ya kiti Chake?

Ni maneno ya nani yaiunganishayo mioyo yetu pamoja?

Sisi wa nchi zote, jamii zote tunajitolea kikamilifu kwa Mungu.

Mwenyezi Mungu, Mpendwa,

Mwenyezi Mungu, Mpendwa,

Watu wako waimba nyimbo za upendo, wakusifu.

Mwenyezi Mungu, Mpendwa,

tutakushuhudia, kukutii, kukupenda daima.

Mwenyezi Mungu, Mpendwa,

Watu wako waimba nyimbo za upendo, wakusifu.

Mwenyezi Mungu, Mpendwa,

tutakushuhudia, kukutii, kukupenda daima.

Iliyotangulia: 78 Mpendwa Wetu

Inayofuata: 80 Kulipiza Upendo wa Mungu na Kuwa Shahidi Wake

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp