27 Ee Mwenyezi Mungu, Wewe ni Mtukufu Sana

1

Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho,

Wewe ni Mwokozi aliyekuja tena.

Umeonyesha ukweli na kuanza

hukumu ya nyakati za mwisho

Maneno Yako yana nguvu na mamlaka,

yakitakasa tabia potovu ya binadamu.

Maneno Yako yote ni ukweli,

yakifichua haki na utakatifu wa Mungu.

Unahukumu ulimwengu wa zamani,

kuhukumu mataifa na watu wote.

Maneno Yako yanakamilisha vyote,

Umemshinda Shetani kikamilifu.


Sifa ni Kwako, Wewe hakika ni mtukufu.

Matendo Yako ni ya ajabu, Mwenyezi Mungu.

Mataifa na watu wote hucheza kwa furaha.

msifu Mwenyezi Mungu kwa kupata utukufu, kwa kupata utukufu.

2

Umeonekana na kufanya kazi nchini China,

Ukitumia joka kubwa jekundu kama mfanya huduma.

Shetani anajaribu kila kitu kupinga kazi Yako kwa nguvu,

ameshindwa kila wakati kwa fedheha.

Umeunda kikundi cha washindi

wanaokushuhudia katika dhiki.

Wanatekeleza wajibu wao kwa uaminifu,

Watu Wako wanakupenda na kukutii Wewe.

Kazi Yako imemshinda Shetani,

Unatukuzwa kikamilifu duniani.

Ufalme Wako umeonekana.

mataifa na watu wote wanakuabudu Wewe.


Sifa ni Kwako, Wewe hakika ni mtukufu.

Matendo Yako ni ya ajabu, Mwenyezi Mungu.

Mataifa na watu wote hucheza kwa furaha.

msifu Mwenyezi Mungu kwa kupata utukufu.


Kazi Yako kuu imefanikiwa, na Utarudi Sayuni.

Wateule Wako wamefikia wokovu, wakikugeukia Wewe kwa kweli, wao ni Wako Wewe.

Kazi Yako imeanza kuenea duniani kote, maafa makubwa yanaanguka.

Kukataa kumkubali Mwenyezi Mungu kunamaanisha kuanguka katika maafa.

Maafa yataondoa binadamu waovu, ni watu Wako tu watakaobaki.

Watu na mataifa yote yanarudi mbele ya kiti Chako cha enzi,

wote wanakusifu kwa mioyo yao yote.


Sifa ni Kwako, Wewe hakika ni mtukufu.

Matendo Yako ni ya ajabu, Mwenyezi Mungu.

Mataifa na watu wote hucheza kwa furaha.

msifu Mwenyezi Mungu kwa kupata utukufu,

kwa kupata utukufu, kwa kupata utukufu.

Iliyotangulia: 26 Shukrani na Sifa kwa Mwenyezi Mungu

Inayofuata: 28 Msifu Mungu Kwa Moyo Mmoja

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

83 Upendo wa Kweli

1 Namrudia Mungu na kuuona uso Wake upendezao, nikiwa huru kutokana na udhibiti wa kaida za dini. Neno Lake linanijaza na raha na furaha...

263 Njia Yote Pamoja na Wewe

1 Naelea na kuzurura katika dunia, nikihisi kupotea na mnyonge ndani. Ninapoamshwa na maneno Yako ya upole, naona kuonekana kwa mwanga....

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki