Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Sifa Kamili | Dansi ya Kilatini "Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu"

Video za Nyimbo na Ngoma   1359  

Utambulisho

Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu

Kazi kubwa ya Mungu hubadilika haraka sana, vigumu kuipima, kuridhisha kwa mtu.

Angalia kandokando yako, si kama awali, kila kitu ni kizuri na kipya.

Kila kitu kimehuishwa, vyote vimetengenezwa upya, vyote vimetakaswa.

Tunamsifu Mungu, tukijawa furaha, nyimbo za sifa zinapepea mbinguni Kwake.

Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake! Watu wote msifuni Mungu kwa vigelegele.

Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake! Watu wote msifuni Mungu kwa vigelegele.

Sifa kwa matendo ya Mungu ya ajabu, isifuni hekima Yake, isiyoshindwa.

Isifuni tabia Yake yenye haki, msifuni kwa kuwa ni Mungu mwaminifu.

Kazi halisi ya Mungu imebadilisha tabia yangu ya kutotii.

Nimeadhimiwa na kazi iliyoteuliwa ya Mungu, kushuhudia kwa matendo Yake matakatifu.

Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake!

Kuimba sifa Kwake kutoka kwa nyoyo zetu zenye furaha.

Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake!

Kuimba sifa kwa Mungu kutoka kwa nyoyo zetu zenye furaha.

Wale wanaompenda Mungu, mtiini daima, na kuishi kwa kudhihirisha uhalisi wa neno Lake.

Baada ya kuacha dhambi zao na uchafu, wote huwa watakatifu.

Kuwa na ushuhuda kwa jina takatifu la Mungu, baada ya kuutosheleza moyo wa Mungu.

Uadilifu na utakatifu kujaa katika ulimwengu huu,

kila mahali ni pazuri na papya.

Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake!

Kuimba sifa Kwake kutoka kwa nyoyo zetu zenye furaha.

Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake!

Kuimba sifa kwa Mungu kutoka kwa nyoyo zetu zenye furaha.

Tukuzeni ufanikishaji wa kazi ya Mungu, Mungu ametukuzwa kikamilifu,

wote na yeyote anafanya kutii, kila mmoja ana mahali pa mwisho pa kupumzika.

Watu wa Mungu, watakatifu hata zaidi, humtukuza Mungu wa kweli.

Pamoja na Yeye, wametota kwa furaha.

Wametota kwa furaha.

Mtukuzeni! Pamoja, sisi humtukuza!

Nyimbo zetu za sifa hazitafika kikomo kamwe.

Mtukuzeni! Pamoja, sisi humtukuza!

Nyimbo zetu za sifa hazitafika kikomo kamwe, hazitafika kikomo.

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu