Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Pitieni Upendo wa Kweli wa Mungu | Sifa na Ibada "Wimbo wa Mapenzi Matamu"

Video za Nyimbo na Ngoma   2160  

Utambulisho

Wimbo wa Mapenzi Matamu


Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako. Ni matamu sana, nakaa karibu yako.

Kukutunza hukoleza moyo wangu; kukutumikia na mawazo yangu yote.

Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako; mimi hufuata nyayo zako za mapenzi.

Mimi hujisogeza kulingana na macho Yako; mapenzi yanaonyesha furaha ya moyo wangu.

Mapenzi yanaonyesha furaha ya moyo wangu.

Sasa mimi huishi katika ulimwengu mwingine, hakuna yeyote isipokuwa wewe uko nami.

Unanipenda, ninakupenda; hakuna huzuni wala sikitiko hutusumbua.

Hakuna huzuni wala sikitiko hutusumbua. Kumbukumbu chungu hutokomea.

Kumbukumbu chungu hutokomea.


Kukufuata katika mapenzi, niko karibu Yako; furaha hutujaa Wewe na mimi.

Kuelewa mapenzi Yako, mimi hukutii tu, bila kutaka kutokukutii Wewe.

Nitaishi mbele Yako kuliko wakati wowote, siwezi kuwa mbali na Wewe tena.

Nikiyawaza na kuyaonja maneno Yako, napenda Ulicho nacho, kile Ulicho.

Napenda Ulicho nacho, kile Ulicho.

Nataka Uwe maisha yangu. Nitakuruhusu Uchukue moyo wangu.

Ah! Nakupenda, nakupenda. Mapenzi Yako yamenishinda,

kwa hivyo nina bahati kukamilishwa ili niutosheleze moyo Wako.

Haleluya! Haleluya! Haleluya! Mungu asifiwe!

Haleluya! Haleluya! Haleluya! Mungu asifiwe!

Haleluya! Haleluya! Haleluya! Mungu asifiwe!

Haleluya! Haleluya! Haleluya! Mungu asifiwe!


kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu