93 Mbona Upendo Wa Kweli Ni Mgumu Sana Kupatikana Duniani

1

Nimekuwa nikingoja sana kukuona, Mungu.

Sitaki kuwa mbali na Wewe tena.

Wewe ni Muumba wangu mkuu,

lakini sasa hatuwezi kuwa pamoja kila wakati.

Unavumilia aibu kubwa kuokoa mwanadamu mpotovu.

Nani anaweza kuelewa?

Umesafiri katika njia ya damu na machozi,

ukivumilia mateso kwa miezi na miaka.

Wewe umeleta chini upendo Wako wote kwetu.

Unashiriki katika taabu za watu,

na bado unastahimili upweke na kuachwa.

Nani anaweza kuujali moyo Wako?

Kila wito na kila siku ya matarajio.

Unatoa yote Uliyo nayo ili kupata upendo wa mwanadamu.

Ilhali hakuna yeyote anayeweza kweli kukuletea faraja.

Mbona upendo wa kweli ni mgumu sana kupatikana duniani?

2

Nikisujudu mbele Yako, najawa na huzuni,

nikishikilia majuto na kuomba msamaha.

Jinsi ninavyosikitikia vitu nilivyofanya.

Nachukia kuwa sijaujali moyo Wako.

Upotovu wangu wote unakuacha umevunjika moyo.

Nawezaje kurekebisha makosa yangu?

Kila wito na kila siku ya matarajio.

Unatoa yote Uliyo nayo ili kupata upendo wa mwanadamu.

Ilhali hakuna yeyote anayeweza kukuletea faraja.

Mbona upendo wa kweli ni mgumu sana kupatikana duniani?

Kila wito na kila siku ya matarajio.

Unatoa yote Uliyo nayo ili kupata upendo wa mwanadamu.

Ilhali hakuna yeyote anayeweza kukuletea faraja.

Mbona upendo wa kweli ni mgumu sana kupatikana duniani?

3

Ukweli Unaoonyesha unaokoa binadamu,

ukiacha upendo unaong’aa katika dunia.

Kile ambacho Umeniaminia

kimechongwa ndani ya moyo wangu.

Sina hamu nyingine

ila kuwa mtiifu Kwako milele.

Iliyotangulia: 92 Mwenyezi Mungu Wetu Mpendwa

Inayofuata: 95 Kujitolea Kwa Upendo

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp