64 Upendo wa Kweli

1

Namrudia Mungu na kuuona uso Wake upendezao,

nikiwa huru kutokana na udhibiti wa kaida za dini.

Neno Lake linanijaza na raha na furaha kutoka kwa neema Yake.

Ninapomrudia Mungu, moyo wangu una mengi ya kusema.

Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia na kunistawisha ili nikuwe.

Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.

Tunatoa shukrani Kwako leo

ni baraka na uinuaji Wako kwetu.

Tunakupenda, Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!

Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!

2

Eh Mungu, Unatupenda sana, upendo Wako ni mkuu sana!

Tunafurahia neno Lako na tunapata nuru kila siku.

Unatusaidia tuelewe ukweli, tunatakaswa.

Unatuongoza mbali na ushawishi wa ibilisi wa kupotosha.

Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia na kunistawisha ili nikuwe.

Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.

Tunatoa shukrani Kwako leo

ni baraka na uinuaji Wako kwetu.

Tunakupenda, Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!

Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!

Ndugu! Tuinukeni na tusifu!

Tuutunze wakati huu tunaoshirikiana pamoja.

Tukiwa huru kutokana na minyororo ya mizigo ya mwili,

hebu tuonyeshe upendo wetu kwa Mungu katika matendo halisi,

tutimize wajibu wetu kwa moyo na nuvu.

Tunakupenda, Mwenyezi Mungu! Hatutawahi kukuacha!

Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia na kunistawisha ili nikuwe.

Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.

Tunatoa shukrani Kwako leo

ni baraka na uinuaji Wako kwetu.

Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia na kunistawisha ili nikuwe.

Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.

Tunatoa shukrani Kwako leo

ni baraka na uinuaji Wako kwetu.

Tunakupenda, Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!

Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!

Tunakupenda, Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!

Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!

Iliyotangulia: 63 Tunapaswa Kukimya Mbele za Mungu Daima

Inayofuata: 65 Upendo wa Mungu Unauzingira Moyo Wangu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp