215 Sifa kwa Mungu Kutoka kwa Kizazi cha Moabu

1

Watoto wa Moabu wanalia katika dhiki,

nyuso za huzuni zimelowa machozi.

Hukumu ya maneno ya Mungu

inanifanya nitetemeke kwa hofu.

Nikiwa na macho yenye machozi,

mwili wangu unatolewa kwa mioto ya hukumu.

Watoto wa Moabu wanalia kwa dhiki.

Hukumu isiyo na huruma inapeleka jahanamu.

Uchungu na kuadibu vinanijia.

Katika majaribu nakuita na kukutafuta Wewe.

Nikizama katika huzuni, najichukia mwenyewe zaidi.

Janga linatokea, naamini lakini mimi si Wako.

Nahisi hatia na kujilaani katika majuto.

Jaribio la tanuu linautesa moyo wangu.

Watoto wa Moabu wanalia katika dhiki,

hamu ya kubarikiwa

ikipotea kabisa katika hukumu ya Mungu,

upotovu wawekwa kando na kuadibu,

Katika majuto, naazimia kujiamsha na kumpenda Mungu.

Watoto wa Moabu wanatamka sifa ya dhati.

Mungu anapendeza sana, na nitampenda Yeye kila wakati.

2

Kuamini lakini kutokufurahisha Wewe,

sistahili kuitwa binadamu.

Kama nina dhamiri, lazima niinuke, nitoe ushuhuda Kwako.

Hata Ukinichukia, bado nitakupenda Wewe, bila aibu.

Ingawa mimi ni mwana wa Moabu,

moyo wangu unaokupenda Wewe hautabadilika.

Wengi sana wanatafuta kuyaelewa mapenzi Yako.

Wengi sana wana hamu ya kukupenda Wewe kabisa.

Wengi sana wanatayarisha ushuhuda wao kukuridhisha Wewe.

Wengi sana wako tayari kutoa maisha yao kulipa upendo Wako.

Watoto wa Moabu wanalia katika dhiki,

hamu ya kubarikiwa

ikipotea kabisa katika hukumu ya Mungu,

upotovu wawekwa kando na kuadibu,

Katika majuto, naazimia kujiamsha na kumpenda Mungu.

Watoto wa Moabu wanatamka sifa ya dhati.

Mungu anapendeza sana, na nitampenda Yeye kila wakati.

Iliyotangulia: 214 Ni Bahati Yetu Nzuri Kumhudumia Mungu

Inayofuata: 216 Ee Mungu, Siwezi Kukuacha

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp