38 Msifuni Mungu kwa Kupata Utukufu

Mawingu angani yatabasamu,

maua ya ardhini yanaota.

1

Mtukufu, mkuu, Mwenyezi Mungu,

Wewe umekuwa mwili na Ukaja ulimwenguni.

Unaonyesha ukweli kumhukumu na kumtakasa mwanadamu,

kama upanga, maneno Yako ni yenye uweza.

Kwa maneno Yako tumetakasawa,

na ukweli na uzima tumepata.

2

Mtukufu, mkuu, Mwenyezi Mungu,

leo Umekuwa mwema kwetu!

Tumeiona haki Yako,

Tunakuogopa, tunakutii;

tumebarikiwa, shukrani zetu

haziwezi kuonyeshwa kikamilifu.

Tunakusifu kwa nyimbo na densi,

tunakucha kwa utiifu wetu.

Tunatoa ushuhuda mkubwa kwa ajili Yako

katika uaminifu tunauonyesha.

Unamshinda Shetani, Unasifiwa.

Ulipata utukufu, Unasifiwa.

3

Mtukufu, mku, Mwenyezi Mungu,

Unaonekana kwa mataifa yote na wanadamu,

Haki Yako inafichuliwa kabisa.

Wote wanaokupinga na kufanya maovu

wataadhibiwa na kuanguka.

Maneno Yako yaainisha vyote.

4

Mtukufu, mku, Mwenyezi Mungu,

Mpango Wako wa miaka elfu sita sasa unaisha,

utukufu wote Umepata sasa.

Kilicho kiovu kinateketezwa,

Umeufanya upya ulimwengu,

Matendo Yako yanaujaza ulimwengu.

Nchi yote imejawa na utakatifu na haki.

Tunakusifu kwa nyimbo na densi,

tunakucha kwa utiifu wetu.

Tunatoa ushuhuda mkubwa kwa ajili Yako

kwa uaminifu tunauonyesha.

Unampiga Shetani, Unasifiwa.

Ulipata utukufu, Unasifiwa.

Binadamu sasa ni kama walivyokuwa wakati wa uumbaji,

mwanadamu anaishi katika nuru bila huzuni au kutanafusi.

Tunafurahia, tunasifu na kuimba kazi Yako imekamilika!

Tunakusifu kwa nyimbo na densi,

tunakucha kwa utiifu wetu.

Tunatoa ushuhuda mkubwa kwa ajili Yako

kwa uaminifu tunauonyesha.

Unampiga Shetani, Unasifiwa.

Ulipata utukufu, Unasifiwa.

Unampiga Shetani, Unasifiwa.

Ulipata utukufu, Unasifiwa.

Iliyotangulia: 37 Kazi Kuu ya Mungu Imekamilishwa

Inayofuata: 39 Ulimwengu Unatoa Sauti ya Sifa kwa Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp