156 Upendo Wangu kwa Mungu Hautabadilika Kamwe

1

Maisha ya ugumu, nikitangatanga kupitia upepo na mvua; ni nani anayeweza kujua mateso Anayopitia?

Katika mwili mnyenyekevu, Yeye hufanya kazi kwa uvumilivu, upendo wa mwanadamu ni mgumu kupata.

Amezungumza maneno mengi na kuufadhaisha moyo Wake sana, na kwa kumwokoa mwanadamu, Amekuwa akifanya juhudi za bidii kwa miongo kadhaa mwishowe.

Moyo wa Mungu, upendo wa Mungu—ni lini nitavielewa kweli, ili nimfariji Mungu?

Maneno ya Mungu yanaushinda moyo wangu, azimio langu la kumfuata Mungu hadi mwisho haliwezi kutikisika.

Naahidi uaminifu kwa Mungu alimradi bado napumua.

2

Kupitia katika maneno ya Mungu naelewa ukweli na najua jinsi ya kuwa mwanadamu.

Kupitia maneno ya Mungu nang’amua vitu vyote, ukweli pekee ndio wa thamani zaidi.

Majaribu na dhiki viwe vikubwa vipi, nahitaji kupata ukweli tu. Kumpenda Mungu ni kwa maana zaidi.

Nitatimiza wajibu wangu kwa uaminifu na kustahimili mateso ya mwisho kushuhudia na kumtukuza Mungu.

Nautoa moyo wangu kwa Mungu; natamani tu kulipa upendo Wake.

Maneno ya Mungu yananitakasa, na upendo wangu kwa Mungu hautabadilika kamwe.

Iliyotangulia: 155 Mataifa Yote Njooni kwa Mwangaza Wenu

Inayofuata: 157 Kuna Kundi Kama Hili la Watu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp