81 Ee Mungu! Siwezi Kuwa Bila Wewe

1

Sauti Yako inanielekeza kwa uwepo Wako.

Maneno Yako yanaushinda moyo wangu.

Upendo Wako mwororo, maneno Yako ya uzima,

yanaushika moyo wangu, na kunifanya nikupende.

Uko katika mawazo yangu daima. Eh, Uko katika mawazo yangu daima.

2

Maneno Yako hunifanya nikupende sana,

upendo usioelezeka.

Uso Wako mzuri hunitia msukumo, maneno Yako ya fadhila huichochea mioyo ya watu.

Upogoaji, ushughulikiaji, na nuru huniruhusu kufurahi upendo Wako.

Upendo Wako huujaza moyo wangu. Eh, Siwezi kuwa bila Wewe.

3

Tabia Yako ni yenye haki, takatifu, na ya kupendeza.

Hekima na maajabu Yako yanavutia.

Japo najaribiwa leo, na uchungu wausafisha moyo wangu,

maneno Yako huwa na mimi daima, natamani kukupenda tu kadri niwezavyo.

Sina malalamiko kati ya mipangilio Yako. Eh, Sina malalamiko kati ya mipangilio Yako

4

Upendo Wako kwa wanadamu ni wa kweli, halisi sana.

Kwa furaha nafanya yote niwezayo ili kukuridhisha Wewe.

Ingawa majaribio na usafishaji ni kali, kwa mwongozo wa maneno Yako,

nina imani kamili Kwako. Kama naweza kukupenda na kukushuhudia,

basi niko tayari, haijalishi shida ilivyo kubwa. Eh, upendo wangu Kwako hautabadilika kamwe.

Iliyotangulia: 80 Kulipiza Upendo wa Mungu na Kuwa Shahidi Wake

Inayofuata: 82 Kutafuta kwa Ajili ya Upendo

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp