Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

43 Maisha Ya Kanisa Ni Ya Kupendeza Sana

1

Mwenyezi Mungu mwenye mwili,

tunainua sauti yetu kukusifu.

Tumeinuliwa mbele ya kiti cha enzi kuhudhuria sherehe.

Maneno Yako yatuongoza kwa maisha mapya.

Tunaona ukweli ni wa thamani

katika kutenda kwetu maneno ya Mungu.

Ukweli unatuweka huru kutokana na minyororo yote,

roho zetu zinajawa na furaha.

Tunanyunyiziwa na maneno ya Mungu, tunafurahia upendo Wake.

Tuko mbele za Mungu kila siku, utamu ulioje mioyoni mwetu.

Tuna furaha kuishi maisha ya kanisa.

Tumebarikiwa sana kuwa na uwepo wa Mungu na uongozi.

Kwa kumpenda Mungu na kupata sifa Zake,

tunaishi maisha ya furaha zaidi.

Maisha ya kanisa ni ya kupendeza sana,

na Mungu asifiwa milele.

Maisha ya kanisa ni ya kupendeza sana,

na Mungu asifiwa milele.

2

Tumeheshimiwa kupata hukumu ya Mungu,

tumeona upotovu wetu wa kina.

Ingawa tunaumia, tunaona upendo wa Mungu ni halisi.

Tunaingia katika ukweli, tunaona baraka Zake.

Tunahukumiwa, tunapata ukweli, tunakuwa na maisha mapya.

Asili yetu ya kishetani inatupiliwa mbali,

tunakuwa watu wapya.

Ukweli watuletea shangwe na kutuweka huru.

Tunafurahi kuishi maisha ya kanisa.

Tumebarikiwa sana kuwa na uwepo wa Mungu na uongozi.

Kwa kumpenda Mungu na kupata sifa Zake,

tunaishi maisha ya furaha zaidi.

Maisha ya kanisa ni ya kupendeza sana, na Mungu asifiwa milele.

Maisha ya kanisa ni ya kupendeza sana, na Mungu asifiwa milele.

3

Ndugu wanapatana, kuishi kwa amani kwa kufuata maneno ya Mungu.

Tunapendana na kusaidiana, mioyo yetu inapiga pamoja kama mmoja.

Tunatenda ukweli, safi na wazi, na kujaribu kuwa watu waaminifu.

Tuna uvumilivu na ustahimilivu, tukijaa upendo, tunaishi kama wanadamu.

Ndugu, sako kwa bako, tunafanya kazi na kuwa na ushuhuda kwa Mungu,

tunatoa yote yetu kueneza injili ya ufalme.

Tunatimiza wajibu wetu kuufurahisha, kuufurahisha moyo wa Mungu.

Hukumu ya Mungu ni baraka, inatutakasa.

Neno la Mungu ni ukweli, linakuwa uzima wetu.

Tunamwabudu Mungu kwa roho na kweli, tunaishi katika nuru.

Ufalme wa Kristo ni nyumba yetu nzuri.

Ufalme wa Kristo ni nyumba yetu nzuri.

Iliyotangulia:Ufalme Wa Kristo Ni Nyumbani Kwenye Joto

Inayofuata:Anga Hapa ni Samawati Sana

Maudhui Yanayohusiana

 • Njia Yote Pamoja na Wewe

  1 Naelea na kuzurura katika dunia, nikihisi kupotea na mnyonge ndani. Ninapoamshwa na maneno Yako ya upole, naona kuonekana kwa mwanga. Maneno Yako ya…

 • Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

  Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye. Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena, hawamwiti baba tena. 1 …

 • Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote

  1 Kutoka unapoingia katika dunia hii ukilia, unaanza kutenda wajibu wako. Katika mpango na utaratibu wa Mungu, unachukua nafasi yako, na unaanza safar…

 • Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi

  1 Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000, uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi. Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema…