Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

1025 Mungu Apata Mwili Kuteseka kwa Niaba ya Mwanadamu

1 Mungu anapata mwili ili ateseke kwa niaba ya mwanadamu, na kwa kufanya hivyo atasababisha hatima iliyo ya ajabu ambayo itafuata kwa ajili ya mwanadamu. Hatua hiyo ya kazi iliyokamilishwa na Yesu ilikuwa tu kuwa Kwake mfano wa mwili wenye dhambi na kusulubiwa, kuhudumu Kwake kama sadaka ya dhambi na kuwakomboa wanadamu wote, na hii iliweka msingi wa kuingia kwa baadaye kwa mwanadamu katika hatima iliyo ya ajabu. Alizichukua dhambi zote za mwanadamu juu Yake na akawa mfano wa mwili wenye dhambi na akasulubiwa; Alisulubiwa kwa niaba ya wanadamu wote, na baada ya hapo wanadamu wote walikombolewa. Alitumia kusulibiwa Kwake na damu Yake ya thamani kuwakomboa wanadamu. Damu Yake ya thamani ilitumiwa kama sadaka ya dhambi, kumaanisha kwamba ilitumiwa kama ushuhuda kwamba mwanadamu anaweza kuwa bila dhambi na anaweza hatimaye kuja mbele za Mungu: Ilikuwa ni njia ya kumgeuzia Shetani mashambulizi katika vita dhidi ya Shetani.

2 Sasa katika hatua hii, Mungu atakamilisha kazi Yake na kuifanya enzi nzee kufika tamati. Atawaleta wale kati ya wanadamu walioachwa katika hatima yao iliyo ya ajabu. Hivyo Mungu kwa mara nyingine tena amekuwa mwili na, kama pamoja na kumshinda mwanadamu, Amekuja kustahimili mateso fulani kwa niaba ya mwanadamu ili kwamba mateso yao hatimaye yataondolewa kutoka kwao. Mateso yote ya mwanadamu yataondolewa kutoka kwao kwa njia ya ushuhuda, tendo hili, ambalo ni Mungu kujishuhudia Mwenyewe na kutumia ushuhuda huu na kushuhudia huku kumwangamiza Shetani, kumuaibisha ibilisi, na kuufichua hatima ya ajabu ya mwanadamu.

3 Mungu mwenye mwili amekuja kufanya kazi Yake na kupitia uchungu wa dunia. Ni muhimu kwamba Mungu afanye kazi hii, na ni muhimu sana, kwa mwanadamu na kwa hatima ya baadaye ya mwanadamu. Yote ni kwa ajili ya wokovu wa mwanadamu, kwa ajili ya kupatikana kwa mwanadamu—matendo haya yanafanywa na juhudi hii inagharimika kwa sababu ya hatima wa ajabu wa mwanadamu. Baada ya Mungu kuwarudisha wanadamu kupitia kuonja mateso ya binadamu, Shetani hatakuwa tena na kitu anachoweza kutumia dhidi yao, na wanadamu watamgeukia Mungu kikamilifu. Hili tu ndilo linaloweza kuitwa binadamu kumilikiwa na Mungu kikamilifu.

Umetoholewa kutoka katika “Maana ya Mungu Kuupitia Uchungu wa Dunia” katika Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo

Iliyotangulia:Mungu Apitia Maumivu Makubwa Kumwokoa Mwanadamu

Inayofuata:Mungu Kupitia Maumivu ya Mwanadamu ni kwa Maana Sana

Maudhui Yanayohusiana

 • Furaha Katika Nchi ya Kanaani

  1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu kuingia kati…

 • Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu

  Mandhari iliyochorwa katika Biblia "Amri ya Mungu kwa Adamu" ni ya kugusa na yenye kutia moyo. Ingawa hiyo picha ina Mungu na mtu tu, uhusiano kati ya…

 • Upendo Safi Bila Dosari

  1 Upendo ni hisia safi sana, safi bila dosari. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Upendo hauweki masharti au vizuizi au ba…

 • Upendo wa Kweli

  1 Namrudia Mungu na kuuona uso Wake upendezao, nikiwa huru kutokana na udhibiti wa kaida za dini. Neno Lake linanijaza na raha na furaha kutoka kwa ne…