Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

334 Hukumu ya Mungu kwa Mataifa na Watu Wote

1 Ufalme wa Mungu umefanikishwa kabisa na umekuja chini katika dunia kwa umma; hata zaidi hii inamaanisha kuwa hukumu ya Mungu imetokea kabisa. Maafa yote yatatokea moja baada ya nyingine; mataifa yote na maeneo yote yatapitia maafa—tauni, njaa, mafuriko, ukame na matetemeko ya ardhi yatakuwa kila mahali. Maafa haya hayatokei tu sehemu moja au mbili, wala hayataisha kwa siku moja au mbili, lakini badala yake yataeneza juu ya eneo kubwa zaidi na zaidi, na maafa yatakuwa makali zaidi na zaidi. Wakati huu kila namna ya wadudu tauni watatokea kwa mfululizo, na tukio la watu kuwala watu litatokea kila mahali. Hii ni hukumu ya Mungu juu ya mataifa yote na watu.

2 Jina la Mungu lazima litandazwe katika pande zote na kila mahali, kwamba kila mtu alijue jina Lake takatifu na kumjua Yeye. Jina la Mungu litaenea nje katika mwamko wa maafa, na msipochunga mtapoteza sehemu inayopaswa kuwa yenu; je, hamuogopi? Jina la Mungu huenea kwa dini zote, na kila pembe za dunia, mataifa yote na madhehebu yote. Hii ni kazi ya Mungu inayofanywa kwa utaratibu, katika viungo vinavyohusiana kwa karibu; yote hutendeka kwa mipango ya Mungu ya busara. Mungu angependa tu muwe na uwezo wa kuendelea mbele kwa kila hatua, kwa karibu mkifuata nyayo Zake.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 65” ya Matamko ya Kristo Mwanzoni katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Yatii Mapenzi ya Mungu kwa Kufuata Amri Kumi

Inayofuata:Mungu Aleta Mwisho wa Binadamu kwa Dunia

Maudhui Yanayohusiana

 • Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi

  1 Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000, uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi. Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema…

 • Ni Muumba Pekee Anayemhurumia Binadamu Huyu

  1 Ni Muumba pekee anayeshiriki na binadamu mapatano ya huruma na upendo yasichovunjika. Ni Yeye pekee Anayetunza viumbe Wake wote, vuimbe Wake wote. K…

 • Tilia Maanani Majaliwa ya Binadamu

  1 Mungu anawahimiza watu wa makabila yote, nchi zote na hata nyanja: Sikilizeni sauti ya Mungu na kuona kazi Yake; tilia maanani jaala ya binadamu; mf…

 • Nitampenda Mungu Milele

  1 Ee Mungu! Maneno Yako yananiita nirudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Mara nyingi sana nilikuwa dhaifu na hasi, m…