Filamu za Kikristo | Je, Hakuna Maneno au Kazi ya Mungu Nje ya Biblia? (Dondoo Teule)

22/09/2018

Watu wengi katika ulimwengu wa kidini wanasadiki kwamba maneno yote ya Mungu yako ndani ya Biblia, na chochote kilicho nje ya Biblia hakina kazi Yake na maneno. Lakini mgtazamo huu unalingana na ukweli? Bwana Yesu alitabiri wakati mmoja, “Bado ningali nayo mengi ya kuwaambieni, lakini hivi sasa hamwezi kuyavumilia. Hata hivyo, wakati Yeye, Roho wa ukweli, atakapokuja, Atawaongoza hadi kwenye ukweli wote: kwa maana Hatazungumza juu Yake Mwenyewe; bali chochote Atakachosikia, Atakinena: na Atawaonyesha mambo yajayo” (Yohana 16:12-13). Utabiri wa Bwana Yesu ungetimiaje ikiwa hakuna maneno au kazi zaidi ya Mungu nje ya Biblia? Je, kuna maneno na kazi kutoka kwa Mungu mbali na Biblia? Video hii itakujibu.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp