Filamu za Kikristo | "Kumbukumbu Chungu" | Welcoming the Return of the Lord in Judgement

01/09/2018

Fan Guoyi alikuwa mzee wa kanisa la nyumba kule Uchina. Wakati wa zaidi ya miaka ishirini ya huduma, siku zote alimwiga Paulo, na kufanya kazi kwa bidii na akamtumikia Bwana kwa shauku kubwa. Aidha, alisadiki kabisa kwamba katika kufuata imani yake kwa njia hii, alikuwa akitenda mapenzi ya Baba wa mbinguni, na kwamba wakati Bwana angerudi, angenyakuliwa kwa hakika na kuenda kwenye ufalme wa mbinguni. Hata hivyo, wakati wokovu wa Mwenyezi Mungu wa siku za mwisho ulipomjia, alishikilia kwa dhana zake. Alikataa, akapinga, na kushutumu kazi ya Bwana ya siku za mwisho tena na tena…. Baadaye, baada ya kufanya majadiliano kadhaa na wahubiri kutoka kwenye Kanisa la Mwenyezi Mungu, Fan Guoyi hatimaye alizinduliwa kwa ukweli, alielewa kwa kweli maana ya kutekeleza mapenzi ya Baba wa mbinguni, pamoja na jinsi ya kufuata imani yake kwa njia ambayo ingemwezesha kufikia wokovu na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni….

Kila mara anapokumbuka kile alichokuwa zamani, kumbukumbu hizo huchoma moyo wake kama miiba …

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp