Swahili Worship Song 2020 | "Yajaze Maisha Yako na Neno la Mungu" (Music Video)

Swahili Worship Song 2020 | "Yajaze Maisha Yako na Neno la Mungu" (Music Video)

1617 |20/03/2020

Kuanzia sasa kuendela, mazungumzo ya maneno ya Mungu

yanapaswa kuwa kanuni ambayo kwayo unazungumza.

Kwa kawaida, mnapojumuika pamoja,

mnapaswa kushiriki katika ushirika kuhusu maneno ya Mungu,

mkiyachukua maneno ya Mungu kama maudhui ya mwingiliano wenu,

mkiongea juu ya yale mnayojua kuhusu maneno haya,

jinsi mnavyoyaweka katika vitendo, na jinsi Roho Mtakatifu afanyavyo kazi.

Alimradi unashiriki maneno ya Mungu, Roho Mtakatifu atakupa nuru.

Kufanikisha ulimwengu wa maneno ya Mungu kunahitaji ushirikiano wa mwanadamu.

Usipoingia katika hili, Mungu hatakuwa na njia ya kufanya kazi;

ukiufunga mdomo wako na usizungumze kuhusu maneno Yake,

Hatakuwa na njia ya kukuangazia.

Wakati wowote ambapo huna shughuli nyingine,

zungumza juu ya maneno ya Mungu,

na usijishughulishe na mazungumzo yasiyo na maana!

Acha maisha yako yajazwe na maneno ya Mungu.

Haijalishi ikiwa ushirika wako ni wa juu juu.

Bila ujuu juu hakuwezi kuwepo kina kirefu.

Lazima kuwe na mchakato.

Kupitia mafunzo yako,

utafahamu kuangaziwa kwako na Roho Mtakatifu,

na jinsi ya kula na kunywa maneno ya Mungu kwa matokeo yanayotarajiwa.

Baada ya muda wa uchunguzi,

utaingia katika ukweli wa maneno ya Mungu.

Baada ya muda wa uchunguzi,

utaingia katika ukweli wa maneno ya Mungu.

Ni ukiamua kushirikiana tu ndipo utaweza kupokea kazi ya Roho Mtakatifu.

Ni ukiamua kushirikiana tu ndipo utaweza kupokea kazi ya Roho Mtakatifu.

Ni ukiamua kushirikiana tu ndipo utaweza kupokea kazi ya Roho Mtakatifu.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Onyesha zaidi
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Shiriki

Ghairi