Wimbo wa Dini | Jinsi ya Kuingia Katika Uhalisi wa Maneno ya Mungu (Music Video)

17/08/2020

Wale ambao kwa kweli hujitumia wenyewe kwa ajili ya Mungu

huweka nafsi zao zote mbele Yake.

Wao hutii kwa kweli matamshi Yake yote,

na wana uwezo wa kuweka maneno Yake katika matendo.

Wao hufanya maneno ya Mungu kuwa msingi wa kuwepo kwao,

na wanaweza kutafuta kwa kweli sehemu za matendo katika neno la Mungu.

Huyu ni mtu ambaye kwa kweli anaishi mbele ya Mungu.

Ikiwa unachofanya ni cha manufaa kwa maisha yako,

na kwa njia ya kula na kunywa maneno ya Mungu,

unaweza kukidhi mahitaji yako ya ndani na upungufu

ili tabia yako ya maisha inabadilishwa,

basi hii itatimiza mapenzi ya Mungu.

Ikiwa unatenda kulingana na mahitaji ya Mungu,

ikiwa huuridhishi mwili lakini unaridhisha mapenzi Yake,

huku ni kuingia katika uhalisi wa maneno Yake.

Wakati unazungumza juu ya kuingia

katika uhalisi wa maneno ya Mungu kwa kweli zaidi,

kunamaanisha unaweza kutekeleza wajibu wako na kukidhi mahitaji ya Mungu.

Aina hizi tu za vitendo

ndizo zinazoweza kuitwa kuingia katika uhalisi wa maneno Yake.

Ikiwa una uwezo wa kuingia katika uhalisi huu, basi una ukweli.

Huu ndio mwanzo wa kuingia katika uhalisi;

lazima kwanza ufanye mazoezi haya

na ni baada tu ya hayo ndio utakuwa

na uwezo wa kuingia katika hali halisi za kina zaidi,

na ni baada tu ya hayo ndio utakuwa

na uwezo wa kuingia katika hali halisi za kina zaidi.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp