Ushuhuda wa Kweli | Vita vya Kiroho

29/07/2020

Vita vya Kiroho ni ushuhuda wa Mkristo mmoja anayepitia hukumu na kuadibu kwa maneno ya Mungu. Mhusika mkuu ni kiongozi wa kanisa ambaye, wakati wa mkutano, anagundua kutoka kwa mawazo waliyoshiriki kina ndugu kwamba shemejiwe amekataa kabisa kukubali ukweli na amevuruga na kukatiza kazi ya kanisa kwa aina mbalimbali za tabia mbaya. Kwa msingi wa kanuni ya ukweli, anathibitisha kwamba shemejiwe ni mwovu anayepaswa kufukuzwa kanisani. Hata hivyo, kwa sababu ya upendo wake wenye mihemuko, anashindwa kutia ukweli katika vitendo na kulinda kazi ya kanisa, na hata anamuunga mkono shemejiwe na kumtetea. Baada ya kufundishwa nidhamu chungu kupitia ugonjwa na hukumu ya maneno ya Mungu, anapata maarifa fulani juu ya tabia ya Mungu ya haki, na pia anakuja kuelewa kiini na athari hatari za kutenda kutokana na mhemuko. Mwishowe, anaweza kukwepa vizuizi vya hisia zake na kumfukuza mwovu huyo kutoka kanisani, kama ukweli na kanuni zinavyoamrisha, na mwishowe anapata amani na usalama uliosababishwa na kutenda kweli.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp